Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

Watanzania wengi ni waoga wa maisha, wanamshangaa Mbowe kukataa ajira benki kuu, una baba tajiri wa kukupa mtaji mrefu na connections, bado uajiriwe ?

Hapa Tanzania Biashara ya siasa inalipa Sana kuzidi hata kufanya Kazi BOT .
 
Sattya nadella amejiariwa na Microsoft kwahiyo nani lofa hapo kati ya wewe na Nadelaa
Nadella alikuwa mlala hoi tuu bila connection yeyote, aliingia US kusoma kama wengine na alipiga box kama kwa kuanzia, tofauti alikuwa smart na harworker kuliko wengine
 
Kila mmoja afanye anakoona kunalipa ila neno utumishi limetokana na utumwa.

Ukoloni ulituathiri sana
 
Mkuu nakubali Mbowe tajirii ila hiyo pesa ni ndefuu sanaaaa yaani nahisi hata hujui uhalisia wake. Hiyo pesa inajenga zile tower za NHC Morocco square na chenji inabaki.
Huyo naona hajui hata anachokiongea
 
Back
Top Bottom