Watanzania wengi ni waoga wamebaki kuilaumu CHADEMA

Kwa hiyo watu watajitokeza kupigania haki zao pale tu ambapo Chadema itakuwa na viongozi wa kabila lao? Hilo litawezekana vipi katika nchi yenye makabila zaidi ya 120! Ma ukitoka hapo utazungumzia suala la dini. Kuna usemi kuwa "haijalishi rangi ya paka mradi anakamata panya". Wewe endelea kutafuta paka wa blue wakati panya wanaendelea kukutesa!

Amandla...
 
 
Hassani Kwa staili yako ya kufikiri wewe unakuwa miongoni mwa watanzania wanaoifanya CCM ijione imejaza majiniaz.
 
Chadema ilitumia mkakati wa ovyo wa kutaka madaraka(ukabila na ukanda) ,nani alaumiwe?Watanzania hawako tayari kugawanywa Mkuu,badilisheni jina la chadema na pia uongozi wa chama ,hakuna namna hata kidigo wakuu.
Chadema ni chama kilichosambaa nchi nzima. Na kila mahali kuna viongozi wa chama kutoka eneo husika. Hakuna ukabila, ukanda, wala udini, Chadema.
 
Watu wajinga wanafikiri CCM itaamka tu asbuhi iwapatie Katiba mpya & afu iwakabidhi nchi waiongoze - hilo watanzania wasahau halipo.
Hata wana wa Islael pamoja na kuwa na Mungu wao ambaye kuwaahidi kuwatoa Misri haikuwa lelemama kuna gharama walizilipa tena ni nyingi na za hatari kubwa.
 
Chadema ni chama kilichosambaa nchi nzima. Na kila mahali kuna viongozi wa chama kutoka eneo husika. Hakuna ukabila, ukanda, wala udini, Chadema.
Mbona wasemaji ni watatu tu ,Lema,Mbowe na Mrema?
 
Mbona wasemaji ni watatu tu ,Lema,Mbowe na Mrema?

Chadema kila mtu ni msemaji. Wana uhuru mkubwa sana wa kutoa mawazo yao. Ukifuatilia ktk mtandao utaona Chadema kila mahali wanakisemea chama chao.
 
Tumeandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia ngazi ya familia, kuna vitu ukihoji kwenye ngazi ya familia utaambia kama umekua uondoke hili limebebwa hadi kwenye ngazi zote za maisha, kanisani, shuleni, kazini, na kwenye mihimili
 
Kabisa ni watu waoga na wajinga sana!
 
Kikubwa ni kukaza kupambania maisha yako binafsi kwanza.Achana na kupambania maisha ya watu waoga na wajinga.
 
CDM haijafeli kwa lolote zaidi sana imezidiwa kwa hila na ghiliba za kimfumo zinazofavour CCM.

Matatizo yaliyopo CDM ni ya kawaida na yanatatulika,

Tatizo ni Watanzania wenyewe.
 
Ila nawe jamaa una ubongo unatepeta mno bana!
Hoja za kishamba unaibuka nazo huku.
 
Na kama unafikiri utawala wa chadema utakupa ajira na kumaliza mgao wa maji kalaga baho๐Ÿ˜‚
Kwa ivo Kwa CCM hizo ni shida za kudumu?

Kwa ivo Kwa CCM nakisi ya ajira inatakiwa iwe asilimia ngapi toka hizi asilimia 70 za sasa?
 
Nani amekuambia kuwa mimi ni CCM, au kila mtu anayepingana na machadema ni CCM?
Unatambulika u- CCM wako tena ni ule wa ubobevu. CCM mnajulikana kirahisi Kwa jinsi mnavyotumia akili ZENU๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†
 
Sasa kama wanataka kuuana wasilaumiwe?
 

Attachments

  • IMG-20241117-WA0032.jpg
    118.5 KB · Views: 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ