Watanzania wengi sio watanashati

Watanzania wengi sio watanashati

Ndege wafananao huruka pamoja, upo kundi hilo hilo la maskini
6c258a162242615a79d195411607917d.png

Mleta thread ni mrembo haswaaaa!
 
Usafi ni kufua, kupiga pasi mwembwe tu.

Watu maskini ndio wenye muda wa hayo makorombwezo ya kunyoosha.

Tajiri hana hizo time
Kwa utajiri gani? Umasikini umezidi mpaka kupiga pasi nako ni anasa!
 
Tatizo umechukua sample ya washamba wenzio huko simiyu unaconclude kwa nchi nzima.
 
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka?

Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe! Watanzania kueni wasafi nyoosheni nguo pasi mweh mnatia aibu.

Afu tabia ya kujipulizia pafyumu zenu za mia mia muache mnatuumiza pua.
Tahadhari!
Hii post imeandikwa na Mkenya🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom