Watanzania wengi tuna bahati kutokula milo mitatu kwa siku.

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi.

Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku.

Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit.

Professor Janabi (the national treasure) anasisitiza milo miwili kwa siku ili uishi maisha marefu yenye afya na furaha.

Tusilaumu na kulalamika sana hali ngumu ya maisha na umaskini inatufanya tusiweze kula milo mitatu kwa siku badala yake tushukuru kwani ni blessing in disguise.

.
 
Swahaba Maghayo.
Mkuu Inshu sio mlo, hiyo milo unakula nini, icho ndio cha msinguli sana.
 
Mzuka wanajamvi.

Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku.

Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit.

Professor Janabi (the national treasure) anasisitiza milo miwili kwa siku ili uishi maisha marefu yenye afya na furaha.

Tusilaumu na kulalamika sana hali ngumu ya maisha na umaskini inatufanya tusiweze kula milo mitatu kwa siku badala yake tushukuru kwani ni blessing in disguise.

.
Binafsi naona kula kidogo ni advantage sana, sema kwa sasa ujinga umeshamiri, hadi vijijini wanakula sembe kwa sasa badala ya doja! Sembe haina virutubisho.

Baadhi ya wabongo wakila vyakula vya kawaida mfano dagaa mchemsho, ugali wa dona, maharage, mchicha wanajisikia vibaya wengine wanaona aibu kuchekwa kwamba wamefulia wakati ndiyo vina afya, wengine kwao vyakula vizuri ni vile vyenye sukari nyingi, mafuta mengi nk.
 
Ni bora kuishi maisha mafupi ya kushiba kuliko kuishi maisha mareeefuu ya dhiki na dhiki inapelekea mtu uwe mchawi na mwenye roho mbaya.

Yangu ni hayo tu nakutakia Futari njema.
 
Mzuka wanajamvi.

Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku.

Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit.

Professor Janabi (the national treasure) anasisitiza milo miwili kwa siku ili uishi maisha marefu yenye afya na furaha.

Tusilaumu na kulalamika sana hali ngumu ya maisha na umaskini inatufanya tusiweze kula milo mitatu kwa siku badala yake tushukuru kwani ni blessing in disguise.

.
Huko kwa wapuuzi Zanzibar wakikuona unakula mara 3 kwa siku wanakusomea albadiri au wanakukamata kwanini unakula mara 3 kwa siku.
 
Naheshimu milo mitatu, iwe mitatu..haijalishi ni milo kamili au nusu, ila iwe mitatu. I don't know if/whether there's afterlife, I don't even know what tomorrow holds, wacha tule bwana!!
 
Back
Top Bottom