Mkuu Inshu sio mlo, hiyo milo unakula nini, icho ndio cha msinguli sana.Mzuka wanajamvi.
Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku.
Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit.
Professor Janabi (the national treasure) anasisitiza milo miwili kwa siku ili uishi maisha marefu yenye afya na furaha.
Tusilaumu na kulalamika sana hali ngumu ya maisha na umaskini inatufanya tusiweze kula milo mitatu kwa siku badala yake tushukuru kwani ni blessing in disguise.
Swahaba Maghayo.
Ndio hapo sasa.Mlo mmoja au miwili kwa siku ina faida kubwa sana, Ila ndio hivyo watu hawana uwelewa.
Binafsi naona kula kidogo ni advantage sana, sema kwa sasa ujinga umeshamiri, hadi vijijini wanakula sembe kwa sasa badala ya doja! Sembe haina virutubisho.Mzuka wanajamvi.
Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku.
Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit.
Professor Janabi (the national treasure) anasisitiza milo miwili kwa siku ili uishi maisha marefu yenye afya na furaha.
Tusilaumu na kulalamika sana hali ngumu ya maisha na umaskini inatufanya tusiweze kula milo mitatu kwa siku badala yake tushukuru kwani ni blessing in disguise.
.
Huko kwa wapuuzi Zanzibar wakikuona unakula mara 3 kwa siku wanakusomea albadiri au wanakukamata kwanini unakula mara 3 kwa siku.Mzuka wanajamvi.