kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Ukitaka kujua akili ta watanzania wengi ilivyo na shida, subiri foleni.
Yani kuna foleni badala watu wakae kwenye line yao wanahamia kwenye line ya magari yanayoelekea uelekeo mwingine. Mwishowe foleni haiendi si kwa magari yanayokwenda wala kurudi.
Sijui watanzania tuna shida gani.
Kuna namna sisi ni binadamu wa kipekee