Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Hela za mkopo Zina hatari Sana, sio za kuchezea zile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weye naye akili zako utadhani umezikalia.Sasa,nini kinachokushangaza masikini kukopa?Suala la kuchukua mikopo ni muhimu na ni Chachu ya Maendeleo ya mtu na biashara yake kiujumla.
Ila Kuna watu hawastaili kuingia kwenye hii mikopo ambayo inasababisha vilio vya Kila siku hasa Kwa kina mama, huku wengi wao wakibaki kutumika kimapenzi bila shurti hasa Kwa mikopo midogo.
Nimekuja kugundua kumbe Kukopa ni ulevi na inaleta uraibu kama ule wa pombe, Kuna jamaa mmoja tunafanya nae kazi ofisini yeye ni Mzee wa Kukopa, mtaani Kila mtu anamdai, ofisi imemkopa, staff wamemkopa, bank mbili zimemkopa, amemshauri na mkewe nae amekopa bank. Huyu jamaa asipokopa anaumwa, ila afadhali huyu ana kazi, Kuna wale wenye biashara ndogo, Kuna ndugu yangu alikufa sukari na presha zilipanda kwakuwa alishindwa kufanya marejesho na lodge zake mbili zikauzwa.
Sasa naona Kuna rafiki yangu wa karibu sana ameshaingia kwenye hii michezo ya Kukopa na ananogewa Sasa hivi anataka akaweke nyumba na hapo awalinalikopa Kwa Kiwanja nikamsaidia kidogo Kiwanja kiende na vimkopo vya sakosi, Sasa anataka kuweka nyumba aende bank kabisa ila naona anapotea, namshaurije.
Hata matajiri wanakopa, ila Kukopa kunakuhitaji uwe na akili mnooo.
Kama unaweza kudunduliza dunduliza usikope, Kukopa Kuna wenyewe wataalamu
Bro Kuna ubaya kukopa ili usome,au ujenge nyumba au Kununua usafiri.Suala la kuchukua mikopo ni muhimu na ni Chachu ya Maendeleo ya mtu na biashara yake kiujumla.
Ila Kuna watu hawastaili kuingia kwenye hii mikopo ambayo inasababisha vilio vya Kila siku hasa Kwa kina mama, huku wengi wao wakibaki kutumika kimapenzi bila shurti hasa Kwa mikopo midogo.
Nimekuja kugundua kumbe Kukopa ni ulevi na inaleta uraibu kama ule wa pombe, Kuna jamaa mmoja tunafanya nae kazi ofisini yeye ni Mzee wa Kukopa, mtaani Kila mtu anamdai, ofisi imemkopa, staff wamemkopa, bank mbili zimemkopa, amemshauri na mkewe nae amekopa bank. Huyu jamaa asipokopa anaumwa, ila afadhali huyu ana kazi, Kuna wale wenye biashara ndogo, Kuna ndugu yangu alikufa sukari na presha zilipanda kwakuwa alishindwa kufanya marejesho na lodge zake mbili zikauzwa.
Sasa naona Kuna rafiki yangu wa karibu sana ameshaingia kwenye hii michezo ya Kukopa na ananogewa Sasa hivi anataka akaweke nyumba na hapo awalinalikopa Kwa Kiwanja nikamsaidia kidogo Kiwanja kiende na vimkopo vya sakosi, Sasa anataka kuweka nyumba aende bank kabisa ila naona anapotea, namshaurije.
Hata matajiri wanakopa, ila Kukopa kunakuhitaji uwe na akili mnooo.
Kama unaweza kudunduliza dunduliza usikope, Kukopa Kuna wenyewe wataalamu
Hakuna ulichogundua Bali Kuna watafiti walisema hivyo mapema wiki hii na wakopajo wengi wanakopa kujikimu basic needsSuala la kuchukua mikopo ni muhimu na ni Chachu ya Maendeleo ya mtu na biashara yake kiujumla.
Ila Kuna watu hawastaili kuingia kwenye hii mikopo ambayo inasababisha vilio vya Kila siku hasa Kwa kina mama, huku wengi wao wakibaki kutumika kimapenzi bila shurti hasa Kwa mikopo midogo.
Nimekuja kugundua kumbe Kukopa ni ulevi na inaleta uraibu kama ule wa pombe, Kuna jamaa mmoja tunafanya nae kazi ofisini yeye ni Mzee wa Kukopa, mtaani Kila mtu anamdai, ofisi imemkopa, staff wamemkopa, bank mbili zimemkopa, amemshauri na mkewe nae amekopa bank. Huyu jamaa asipokopa anaumwa, ila afadhali huyu ana kazi, Kuna wale wenye biashara ndogo, Kuna ndugu yangu alikufa sukari na presha zilipanda kwakuwa alishindwa kufanya marejesho na lodge zake mbili zikauzwa.
Sasa naona Kuna rafiki yangu wa karibu sana ameshaingia kwenye hii michezo ya Kukopa na ananogewa Sasa hivi anataka akaweke nyumba na hapo awalinalikopa Kwa Kiwanja nikamsaidia kidogo Kiwanja kiende na vimkopo vya sakosi, Sasa anataka kuweka nyumba aende bank kabisa ila naona anapotea, namshaurije.
Hata matajiri wanakopa, ila Kukopa kunakuhitaji uwe na akili mnooo.
Kama unaweza kudunduliza dunduliza usikope, Kukopa Kuna wenyewe wataalamu
Unakuwa huna njaa.Kama huna roho ya dhulumati usikope maana siwezi rudisha deni kama hujanidai Kwa shurutiMikopo inaua mkuu...usiku hulali, chakula hakipiti kooni. Basi tabu tupu!
Kwa kiswahili Assets na liabilities msaada[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio kila kitu jini, though sikatai kuna roho za madeni lakini changamoto kubwa ya watanzania sio pesa. Ni elimu ya kumiliki pesa, a. k. a financial literacy hiyo ndio shida. Ndio maana poor people hufanya kazi ili walipe bills, middle class hufanya kazi ili walipe bills na kununua liabilities wakidhani ni assets ila rich guys wenyewe hufanya kazi kisha hununua assets ambazo zinaweza ku generate income halafu hizi income wanaziwekeza tena halafu wao wanaacha kufanya kazi na kubaki kwenye management huku hela zao zikiwafanyia kazi usiku na mchana tirelessly.
Tanzania hakuna wakopaji bhana nchi za wenzetu huko mtu anafanya kazi kila kitu amekopa kabla nyumba gari vitu vya ndani.Suala la kuchukua mikopo ni muhimu na ni Chachu ya Maendeleo ya mtu na biashara yake kiujumla.
Ila Kuna watu hawastaili kuingia kwenye hii mikopo ambayo inasababisha vilio vya Kila siku hasa Kwa kina mama, huku wengi wao wakibaki kutumika kimapenzi bila shurti hasa Kwa mikopo midogo.
Nimekuja kugundua kumbe Kukopa ni ulevi na inaleta uraibu kama ule wa pombe, Kuna jamaa mmoja tunafanya nae kazi ofisini yeye ni Mzee wa Kukopa, mtaani Kila mtu anamdai, ofisi imemkopa, staff wamemkopa, bank mbili zimemkopa, amemshauri na mkewe nae amekopa bank. Huyu jamaa asipokopa anaumwa, ila afadhali huyu ana kazi, Kuna wale wenye biashara ndogo, Kuna ndugu yangu alikufa sukari na presha zilipanda kwakuwa alishindwa kufanya marejesho na lodge zake mbili zikauzwa.
Sasa naona Kuna rafiki yangu wa karibu sana ameshaingia kwenye hii michezo ya Kukopa na ananogewa Sasa hivi anataka akaweke nyumba na hapo awalinalikopa Kwa Kiwanja nikamsaidia kidogo Kiwanja kiende na vimkopo vya sakosi, Sasa anataka kuweka nyumba aende bank kabisa ila naona anapotea, namshaurije.
Hata matajiri wanakopa, ila Kukopa kunakuhitaji uwe na akili mnooo.
Kama unaweza kudunduliza dunduliza usikope, Kukopa Kuna wenyewe wataalamu
sasa unafikiri mwisho ni nini, matatizo tuuTukikopa Chap Gari, Nguo Nzuri
Wanaboa Hawa watu wa namna hii huwa hawafai kabisakurudusha sasa!.
Mtu anakuja dukani mwako unaona kabisa pesa anayo ila anakopa
Wananchi wenyewe no defaulters wazuri ndo maana riba imewekwa kubwa kufidiaKukopa ni kawaida tu
Sema serikali yetu haiwajali wananchi kwa kuweka utaratibu mzuri wa kukopa
Nimeiona mara kibao TegetaKuna taasisi Fulani inakopesha inaitwa OYA microcredit....wanatembelea vi IST. Wanadai haooo. Yaani ukichelewesha rejesho, vinaongozana vigari hata sita kuja kukudai mtu mmoja
Wewe huna akili hata moja 😂😂Unakuwa huna njaa.Kama huna roho ya dhulumati usikope maana siwezi rudisha deni kama hujanidai Kwa shuruti
KISHA akachukua milioni 5 akafanya sherehe ya eti kuaga umasikini,
Wapo Dar nzima... Yaani popote wanakufikia hasa wakiwa wanakudai 😂😂Nimeiona mara kibao Tegeta
Usiombe kudaiwa vicoba na kina mama... Wanakupa frustration hiyo njaa hutaisikia ndugu yanguUnakuwa huna njaa.Kama huna roho ya dhulumati usikope maana siwezi rudisha deni kama hujanidai Kwa shuruti