Mkuu umeongea ukweli..mi ushanichosha aisee!!muziki wa Darassa umeshaanza kutukinahi
kwa sababu wameufanya kama chips kila kona
kila station mpaka imekua kero sasa sio burudani!!?
media zetu za ajabu sana , zinachujisha mziki mno
mziki ukishaujua mashairi yote basi umeshachuja!!
wapunguze kuupa kiki wanauchujisha
tuelekeze basi na sisime nili udownload itunes jana npo nauckiliza hapa na cwezi kuuweka humu maana hii ni biashara ya watu
MimiTatizo si kununua, tatizo ni nani wakununua..
MTU toka asubuhi hajapata msosi atakumbuka kudownload?Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa i tune, pia i tune ina mambo ya credit card ambayo yamewaweka wabongo mahali pabaya. Kwa hiyo kwa mtaalamu yeyote anayejua jinsi ya kununua wimbo wa diamond i tune atusaidie wengi wetu ambao ambao elimu ndogo
Taarifa kutoka kwa babu tale zinasema wimbo huo ni final version na hauna mikato mikato kama ule ambao wafanyakazi wa clouds kina pafecto waliusambaza, Kengine cha kushangaza watanzania wengi katika page ya ukurasa wa neyo wa istagram wanausifia, wakati hawajaudownload.
Kitu kingine ni kwamba muziki wa darasa umeshaanza kupotea, kajiandae imepotea, kokoro imepotea, kidogo imepotea, aje imepotea, traki kali sasa ni ya vanesa mdee
We jamaa wa wapi?Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa i tune, pia i tune ina mambo ya credit card ambayo yamewaweka wabongo mahali pabaya. Kwa hiyo kwa mtaalamu yeyote anayejua jinsi ya kununua wimbo wa diamond i tune atusaidie wengi wetu ambao ambao elimu ndogo
Taarifa kutoka kwa babu tale zinasema wimbo huo ni final version na hauna mikato mikato kama ule ambao wafanyakazi wa clouds kina pafecto waliusambaza, Kengine cha kushangaza watanzania wengi katika page ya ukurasa wa neyo wa istagram wanausifia, wakati hawajaudownload.
Kitu kingine ni kwamba muziki wa darasa umeshaanza kupotea, kajiandae imepotea, kokoro imepotea, kidogo imepotea, aje imepotea, traki kali sasa ni ya vanesa mdee
Uko sahihi ...km ushabiki wetu tungekuwa tunashindana itune na mkito kudownload nyimbo za wasanii wetu tunaodai kuwakubali wangefika mbali sanaWabongo wazee wa vitonga wanausubiria kwa bekaboy waudownload, alafu baadaye unasikia anajitamba mimi ni team fulani yaani BLOOD FAN wa msanii fulani, kumbe hajawahi hata siku moja kununua kazi zake, kazi kushinda instagram kutukanana na team nyingine.
Demu mwenyewe anachuja sasa mziki jeMziki hauwezi kuchuja kama bado mtu unaupenda, navyojua ukiukinai mziki ndo umechuja .
Dunia ya leo unanua wimbo wakat me huwa napata bureMe nimeweka vocha la jero nikajiunga mb kisha nikaudownload kumbe unauzwa
Kwani wimbo wa darasa ulifanyiwa promo?huyo neyo na mondi kama kigoma chao murua tutakisikia lakini kwa sasa wasinitoe darasani waniache tu niendelee kuelimika kiburudani+tuacheni unafiki darasa bado anatamba sana mana kilakona ni darasa tu