Watanzania wengi wafeli kununua wimbo wa diamond ft neyo - Elimu

Watanzania wengi wafeli kununua wimbo wa diamond ft neyo - Elimu

me nili udownload itunes jana npo nauckiliza hapa na cwezi kuuweka humu maana hii ni biashara ya watu
 
muziki wa Darassa umeshaanza kutukinahi
kwa sababu wameufanya kama chips kila kona
kila station mpaka imekua kero sasa sio burudani!!?
media zetu za ajabu sana , zinachujisha mziki mno
mziki ukishaujua mashairi yote basi umeshachuja!!
wapunguze kuupa kiki wanauchujisha
Mkuu umeongea ukweli..mi ushanichosha aisee!!
 
Tatizo si kununua, tatizo ni nani wakununua..
 
Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa i tune, pia i tune ina mambo ya credit card ambayo yamewaweka wabongo mahali pabaya. Kwa hiyo kwa mtaalamu yeyote anayejua jinsi ya kununua wimbo wa diamond i tune atusaidie wengi wetu ambao ambao elimu ndogo

Taarifa kutoka kwa babu tale zinasema wimbo huo ni final version na hauna mikato mikato kama ule ambao wafanyakazi wa clouds kina pafecto waliusambaza, Kengine cha kushangaza watanzania wengi katika page ya ukurasa wa neyo wa istagram wanausifia, wakati hawajaudownload.

Kitu kingine ni kwamba muziki wa darasa umeshaanza kupotea, kajiandae imepotea, kokoro imepotea, kidogo imepotea, aje imepotea, traki kali sasa ni ya vanesa mdee
MTU toka asubuhi hajapata msosi atakumbuka kudownload?
 
We jamaa wa wapi?
 
Nawasubiri muununue alafu mi nitaukuta kwenu na hatanikiukosa kwakua najua kabisa dimond ataimbaje....! Sina haja ati
 
Wabongo wazee wa vitonga wanausubiria kwa bekaboy waudownload, alafu baadaye unasikia anajitamba mimi ni team fulani yaani BLOOD FAN wa msanii fulani, kumbe hajawahi hata siku moja kununua kazi zake, kazi kushinda instagram kutukanana na team nyingine.
Uko sahihi ...km ushabiki wetu tungekuwa tunashindana itune na mkito kudownload nyimbo za wasanii wetu tunaodai kuwakubali wangefika mbali sana
 
tuacheni unafiki darasa bado anatamba sana mana kilakona ni darasa tu
Kwani wimbo wa darasa ulifanyiwa promo?huyo neyo na mondi kama kigoma chao murua tutakisikia lakini kwa sasa wasinitoe darasani waniache tu niendelee kuelimika kiburudani+
 
Ni kweli hata mimi nimeshindwa kuununua na kuudownload, nimeishia kuusikiliza tu kupitia itune kwenye ipod yangu. N uleule ila ndo umeungwa fresh hauna kokoro.
 
itune siendi nakila kitu ila ntaupata tu, naijua sana nchi yangu nawatu wake huwaga hawashindwi.
 
Back
Top Bottom