China ni wafupi ila wana jeshi imara sana. China ni wafupi, lakini kazi yao kwenye teknolojia si kitoto. So kama urefu ni akili hayo mambo ya chromosomes, wachina wangeyaelewa ili wapate warefu. Ila pia, ukipata chance ya kutengeneza 'hybridi' na couple ndefu si mbaya. Urefu pia ni mzuri kwa bongo hasa ukiwa mwalimu maana unaweza andika ubaoni bila kusimamia kucha, na kuwaona vizuri watoto wanaotoroka shule, lakini marekani urefu uleule ungekufanya uwe na pesa kwa kucheza kikapu.!.hahahahaha!(tusake pesa vimo hivi kama havitupi maslahi havina maana kwetu-kimo ni fursa)