Watanzania wengi wafupi mno

Ujue urefu ungeambatana na akili over ufupi ingekua na tija lakini Kama ni kwa ajili ya picha au selfie inakua haina maana sana,hata hivyo wafupi ni minority
 
Mimi mfupi 165cm, ingawa nachukia ufupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua na undugu na dr.Isack Ndodi maana ndo zilikua stoty zake hizo khs Panya na hizo dona.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wanabebeshwa mizigo mizito wakiwa wadogo,Mtoto wa miaka 6 anaenda mashine na debe nne za mahindi alaf awe mrefu.
 
Mimi nimepewa ufahamu wa kutambua jema na baya na hata kwa utashi tu wa akili za kuzaliwa utagundua niko sahihi kabisa bila ya hizo hisia zako.

Kwa mfano, hujiulizi kwanini Wanawake wengi waliopo mijini hasa Dar hujifungua kwa tabu sana tena kwa operation kuliko vijijini ambapo Wanawake hujifungua kupitia uke tena hata mwenyewe bila ya kupewa msaada?

Lini ulisikia vijijini hawana nguvu za kiume?

Acheni kula chipsi na makuku yenu mataira yale muone mtavyokuwa vzr kiafya.

Mungu alikuwa na 7bu za msingi sana kumuumba Adam na Hawa na kuwaweka ktk bustani ya Eden wakila vyakula vitokanavyo na mimea, matunda, mbegu na vya majini(samaki) sababu Binadamu tu udongo.

Jiulize kwanini penye mimea tofauti tofauti huwa pana rutuba sana?

Stuka, chukua hatua, "haki afya"[emoji4]
Utakua na undugu na dr.Isack Ndodi maana ndo zilikua stoty zake hizo khs Panya na hizo dona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu mambo mengine kama rangi ya mwili, mihogo ya jang'ombe na bamia?
 

Khs suala la wanawake kujifungua kwa operation siku hizi huko kwny ma hosp. Especially Private hosp. ni mzazi mwenyewe kuchagua anataka kujifungua kwa style gani,govt hosp. ndio wako strictly kwny suala hilo.

Sasa kama wanaume wa vijijini wana nguvu za kutosha mbona wanaume wa dar wakija huko vijijini kwenu wanapigia mbupu dada zenu/wake zenu mlionao huko shamba?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…