mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nieleze wewe na Watu wa ulaya wapi wenye akili waliobobea ktk afya hadi wakampima Ng'olo Kante wakamwona anafaa kucheza mpira na wakamuajiri na amenufaika zaidi kuliko wewe?Kuwa na pesa haihusiani na ulemavu, N'golo alidumaa katika hatua za ukuaji..... watoto wake hawawezi kurithi kimo chake.
Usile Mbegu.
Kuwa na pesa haihusiani na ulemavu, N'golo alidumaa katika hatua za ukuaji..... watoto wake hawawezi kurithi kimo chake.
Usile Mbegu.
bila kisahau china , indonesia, mtoa mada anazingua
Mimi mfupi 165cm, ingawa nachukia ufupiKwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.
Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi wafupi mno kwa kweli. Nadhani kuna haja ya kulitazama hili swala kwa jicho la tatu, kwa mstakabali wa mwendelezo wa kizazi chetu. Ikiwezekana mashuleni kwenye mambo ya genetics basi wanafunzi wafundishe hata unapotaka kuchagua mwenza basi hakikisha angalau unachagua yule mnaepisha kimo ili angalau kutokomoza tatizo la ufupi.
Kwa sababu nimegundua pia inachangiwa pia unakuta mtu mfupi then anaoa mfupi mwenzia.
Inashangaza mimi naonekana mrefu wakati ukienda maeneo mengine mimi ni wakawaida tu. Sijabahatika kufika nchi za wenzetu hasa ulaya, lakini hawa wote ninaowaonaga hapa kwetu wengi ni wana vimo vya kuridhisha sana. Yaani hata mimi nikikaa katikati yao naonekana wa kawaida tu. Ukiangalia hata hapa Afrika mashariki wenzetu kuna unafuu aisee.
Nb:samahanini kwa wale warefu kwenda chini kama nitakuwa nimewakwaza.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Babu zetu wamekula weee...dona still walikuwa warefu na hata sisi watoto wao tumerithi urefu wao, mfano Baba mzazi alikuwa na urefu wa futi 6.10 pia ndiyo waliobahatika kuishi miaka mingi sana kuliko ninyi mnaoigaiga mavyakula haya ya kipumbavu kama kuku wenu mataira wasio na baba wala mama/kuku wa kisasa.
Afu usiwe mjinga kiasi hata panya akakuzidi akili, dona ndicho chakula bora zaidi kuliko sembe lako hilo maana husaidia sana mmeng'enyo wa chakula kupatikana kirahisi tokana na nyuzi nyuzi zipatikanazo kwenye viini vya mahindi na maganda yake(fibres).
Kwanini panya akuzidi akili Binadamu ambaye haangaiki kula makapi tupu/mahindi yaliyokobolewa zaidi ya kula kiini cha mahindi na maganda yake pekee?
Stuka, chukua hatua sasa "haki afya"[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wewe kwa Ng'olo Kante ni zaidi ya takataka/kinyesi/uharo kabisa 7bu ana pesa za kuulisha ukoo wenu wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua na undugu na dr.Isack Ndodi maana ndo zilikua stoty zake hizo khs Panya na hizo dona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukurupuka mimi sipo kwa wafupi na hata hapo juu nilishaeleza Baba yangu mzazi alikuwa na urefu wa futi 6.10.
Kwa kuongezea hapo, genes nyingine zinatokea generations za nyuma zaidi na si kwa wazazi tu.Kama mtu mfupi kampenda mfupi mwenzake anasaidiwaje huyo?
#nooffence...hakunaga kazi ngumu kama kudeal na mtu mfupi...ni heri waowane/tuowane wenyewe kwa wenyewe tu
Vipi kuhusu mambo mengine kama rangi ya mwili, mihogo ya jang'ombe na bamia?Kwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.
Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi wafupi mno kwa kweli. Nadhani kuna haja ya kulitazama hili swala kwa jicho la tatu, kwa mstakabali wa mwendelezo wa kizazi chetu. Ikiwezekana mashuleni kwenye mambo ya genetics basi wanafunzi wafundishe hata unapotaka kuchagua mwenza basi hakikisha angalau unachagua yule mnaepisha kimo ili angalau kutokomoza tatizo la ufupi.
Kwa sababu nimegundua pia inachangiwa pia unakuta mtu mfupi then anaoa mfupi mwenzia.
Inashangaza mimi naonekana mrefu wakati ukienda maeneo mengine mimi ni wakawaida tu. Sijabahatika kufika nchi za wenzetu hasa ulaya, lakini hawa wote ninaowaonaga hapa kwetu wengi ni wana vimo vya kuridhisha sana. Yaani hata mimi nikikaa katikati yao naonekana wa kawaida tu. Ukiangalia hata hapa Afrika mashariki wenzetu kuna unafuu aisee.
Nb:samahanini kwa wale warefu kwenda chini kama nitakuwa nimewakwaza.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Mimi nimepewa ufahamu wa kutambua jema na baya na hata kwa utashi tu wa akili za kuzaliwa utagundua niko sahihi kabisa bila ya hizo hisia zako.
Kwa mfano, hujiulizi kwanini Wanawake wengi waliopo mijini hasa Dar hujifungua kwa tabu sana tena kwa operation kuliko vijijini ambapo Wanawake hujifungua kupitia uke tena hata mwenyewe bila ya kupewa msaada?
Lini ulisikia vijijini hawana nguvu za kiume?
Acheni kula chipsi na makuku yenu mataira yale muone mtavyokuwa vzr kiafya.
Mungu alikuwa na 7bu za msingi sana kumuumba Adam na Hawa na kuwaweka ktk bustani ya Eden wakila vyakula vitokanavyo na mimea, matunda, mbegu na vya majini(samaki) sababu Binadamu tu udongo.
Jiulize kwanini penye mimea tofauti tofauti huwa pana rutuba sana?
Stuka, chukua hatua, "haki afya"[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukurupuka mimi sipo kwa wafupi na hata hapo juu nilishaeleza Baba yangu mzazi alikuwa na urefu wa futi 6.10.
So nakuwaje mfupi sasa, stuka, chukua hatua, "haki afya"
"Stand for the truth always stand alone"
Sent using Jamii Forums mobile app