Watanzania wengi wafupi mno

Aisee mi nina bahati na wanaume wafupi jaman basi kutembea nao aibu maana unaonekana mwanamke mrefu

wana wivu halafu ni malaya sana
ila wanajua mno mahaba kwakifupi wako vizuri kwenye sita kwa sita
 
Wewe una lako jambo kuna mtu umemlenga ila kumtaja huwezi, ila yeye si alioa mwanamke mrefu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujitetea, afu inaonekana wewe ndiwe utakuwa Mtu mfupi maana ubishi ni vinasaba vya Mtu mfupi kabisa.

Wanawake wengi husumbuliwa na mavyakula haya ya kisasa hata hivi karibuni nilikuwa pale TAZARA ktk hospitali ya Dar Group nikishuhudia daktari akimfokea sana Mama m1wapo ya wajawazito kwa kulalamikiwa Mtoto ni mkubwa sana kuliko saizi ya uke wake kumtoa tumboni, so itabidi afanyiwe operation.

Pili Wanawake wengi hupata hata kansa za vizazi, kuota mandevu kama Boko Haram na kuzeeka mapema 7bu ya hayo hayo mavyakula feki.

"Ukitaka kujifunza ni heri kuwa msikilizaji na kukubali kufunzwa siyo kujifanya unajua kila kitu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5.10 aisee mbona umedumaa kabisaa,huo urefu wako umejilinganisha na messi au?maana yeye ni 5'17"

Wewe bado ni ka-shotii sana
Nakwambia hivi, mimi nina urefu wa futi 5.10, kama sipo katika kundi la Watu warefu basi andamana, maana ni saizi ya urefu wa kati kabisa nikiwa nimebakiwa na nchi 2 tu nifikie urefu wa saizi ya juu kabisa(futi 6).

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujitetea, afu inaonekana wewe ndiwe utakuwa Mtu mfupi maana ubishi ni vinasaba vya Mtu mfupi kabisa.

Wanawake wengi husumbuliwa na mavyakula haya ya kisasa hata hivi karibuni nilikuwa pale TAZARA ktk hospitali ya Dar Group nikishuhudia daktari akimfokea sana Mama m1wapo ya wajawazito kwa kulalamikiwa Mtoto ni mkubwa sana kuliko saizi ya uke wake kumtoa tumboni, so itabidi afanyiwe operation.

Kukua kwa huyo Mtoto kwa uzito mkubwa ulitokana na Mama Mjamzito mwenyewe kuendekeza kula chipsi na kuku mataira kila siku, ilibidi Mumewe aitwe ili kuulizwa kwanini alikuwa anampatia sana Mke wake chipsi kuku mayai hadi kumsababishia Mkewe ajiandae kufanyiwa operation ya uzazi, Mumewe alijibu kuwa alikuwa akimkataza sana lkn alikuwa anaviziwa kama hayupo tu basi Mkewe alikuwa akiagiza chipsi mayai na kula kimya kimya.

Pili Wanawake wengi hupata hata kansa za vizazi, kuota mandevu kama Boko Haram na kuzeeka mapema 7bu ya hayo hayo mavyakula feki.

"Ukitaka kujifunza ni heri kuwa msikilizaji na kukubali kufunzwa siyo kujifanya unajua kila kitu"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kweli ufupi ni tatizo linaloleta ubishi sana,nenda kacheki statistics kati ya private hosp vs Govt hosp. ni wapi kuna wazazi wengi wanaojifungua kwa njia ya operation sio umekalia vyakula sijui vimefanya nini.

Msalimie dr. Ndodi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5.10 aisee mbona umedumaa kabisaa,huo urefu wako umejilinganisha na messi au?maana yeye ni 5'17"

Wewe bado ni ka-shotii sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Messi nimempita mbali sana, labda nije nirejee tena ktk nukuu za vipimo vya nyuma, maana 2006 nilifaulu kuchaguliwa kwa vipimo vya kujiunga na polisi tokana na urefu niliokuwa nao, na hata ufanano wa Baba mzazi na mimi ni Mtoto wa pekee kati ya Wanaume wa4 ktk familia yetu kwa kuchukua urefu wa Baba Mzazi.

Sema siku-concentrate sana na vipimo vyangu kipindi hicho.

Lakini wewe ni mfupi kabisa kuliko hata hicho kipimo cha Messi ndiyomaana hata hapa unaendekeza ubishi usio na tija yoyote.

Jitambue dogo kiakili na maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli wewe ni Mawatu, kama wewe ni Mama yangu mzazi basi mi nitakuwa mfupi lkn kama wewe ni mbishi wa kiukoo basi nimekuinulia mikono juu maana wengine mmerithishwa ubishi.

Wasalimie sana waliokuzaa kwa kupata hasara za kujifanya unajua kila kitu kumbe ni kuu la mataira duniani kote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si umesema una 5'10"?

Messi yeye ana 5'17" sasa unakua umemzidi vp Messi?daah kweli braza ufupi na ubishi kuna undugu aisee.

So ukifuzu kuchaguliwa huko police ndo ina prove nini,mbona huku mtaani kuna police wafupi wengi balaa.,hahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah aisee naona hasira za andunje zimefumuka,sasa tunaenda pamoja emolo.

Msalimie mamako hapo,mwambie mtu mfupi namsalimia kwa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo mimi ndiye wa kumponda Messi afu anizidi tena urefu?

Hivi akili zako zina akili kabisa kichwani au nabisahana na kimeo hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada vipi kuhusu wachina na ule ufupi wao ukilinganisha na akili zao pamoja na maendeleo yao.
Urefu ingekuwa Deal basi wachina wangekuwa wanaongoza kwa umaskini duniani!
 
Hahah aisee naona hasira za andunje zimefumuka,sasa tunaenda pamoja emolo.

Msalimie mamako hapo,mwambie mtu mfupi namsalimia kwa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyedumaa alikuwa ni Mess hadi walimchoma baadhi ya sindano ilibkumuongeza kimo lkn Ng'olo Kante ni NO.

Umeona hiyo comment nimemjibu nayo Mtu, then unaleta ukilaza wako hapa, jitambue wewe toto la mama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini Wachina hawa waambukizi akili ndg zao ma-emolloo wa kule misitu ya Congo?
Mtoa mada vipi kuhusu wachina na ule ufupi wao ukilinganisha na akili zao pamoja na maendeleo yao.

Urefu ingekuwa Deal basi wachina wangekuwa wanaongoza kwa umaskini duniani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…