Acha kujitetea, afu inaonekana wewe ndiwe utakuwa Mtu mfupi maana ubishi ni vinasaba vya Mtu mfupi kabisa.
Wanawake wengi husumbuliwa na mavyakula haya ya kisasa hata hivi karibuni nilikuwa pale TAZARA ktk hospitali ya Dar Group nikishuhudia daktari akimfokea sana Mama m1wapo ya wajawazito kwa kulalamikiwa Mtoto ni mkubwa sana kuliko saizi ya uke wake kumtoa tumboni, so itabidi afanyiwe operation.
Pili Wanawake wengi hupata hata kansa za vizazi, kuota mandevu kama Boko Haram na kuzeeka mapema 7bu ya hayo hayo mavyakula feki.
"Ukitaka kujifunza ni heri kuwa msikilizaji na kukubali kufunzwa siyo kujifanya unajua kila kitu"
Sent using
Jamii Forums mobile app