Watanzania wengi wafupi mno

Mleta mada ndio anakuaga chakula ya muhongo urefu ni kilema ufupi pia ni kilema.
 
Wewe unanilazimisha niwe mfupi nakati ktk kumbukumbu zangu nilikwambia kuwa nimebakiwa na nchi 2 pekee nifike futi 7.

Lilikuwa ni swala tu la ku-standardize kwa makadirio ya futi ngapi na nchi ngapi ili niweze kufikia hicho kimo, lkn ulivyonishupalia shingo kwa kujifanya unanijua hadi imenibidi nicheke tu kwa Sari[emoji1787][emoji1787]
Sawa andunje ila next tyme jitahidi uchore 7 fasta hapo Kabla ya discussion.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa andunje ila next tyme jitahidi uchore 7 fasta hapo Kabla ya discussion.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unasikia wewe popoma, kweli google raha sana.

Messi ana urefu wa futi 5 na nchi 6 na nusu, still nilikuwa siko sahihi kuwa nilibakiza nchi 2 tu, coz umenifanya hadi niende kwa seremala jirani nikachukue vipimo na kukuta nina futi 5.11.

Na nimethibitisha kuna nchi 12 ktk futi 1, so kumbe nimebakiwa na futi 1 pekee nifike futi 6, hutaki mlete Dada yako aje kwangu athibitishe.

Acha bangi toto la Mama, mi ni mrefu kama hutaki andamana lkn ukweli halisi ni Mungu ndiye ananishuhudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu tukisema wachina ni wafupi tunakosea, wachina wanateseka na nchi yao wana shida kinyama, usoshalisti kama ilivyo tanzania ni Mateso tupu, mdau mmoja alisema lishe kipindi cha ukuaji husababisha ufupi, hivyo wachina dhiki ndo zimewafupisha, ila Marekani na ulaya lishe bora kipindi cha makuzi ndo kimewarefusha.
Mimi ni mfupi yaani nina sm 164 lakini nafahamu ufupi huu ni kudumaa wakati nasoma bording school lishe ilikuwa duni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu" so huwezi jua kimo cha mungu ama ni mrefu ama ni mfupi...acha kudhihaki viumbe vya muumba wetu
 
Nilisoma sehemu wanasema watu wafupi wanakua na hasira muda mwingi sababu mfuko wa mavi unakua karibu na moyo so sababu ya lile joto kila saa moyo unakua juu juu na inaleta hasira.

No hard feelings,tusameheane.

Sent using Jamii Forums mobile app

dhihaka hizo kwa binadamu mwenzio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…