Watanzania wengi wafupi mno

Watanzania wengi wafupi mno

Mleta mada ndio anakuaga chakula ya muhongo urefu ni kilema ufupi pia ni kilema.
 
Wewe unanilazimisha niwe mfupi nakati ktk kumbukumbu zangu nilikwambia kuwa nimebakiwa na nchi 2 pekee nifike futi 7.

Lilikuwa ni swala tu la ku-standardize kwa makadirio ya futi ngapi na nchi ngapi ili niweze kufikia hicho kimo, lkn ulivyonishupalia shingo kwa kujifanya unanijua hadi imenibidi nicheke tu kwa Sari[emoji1787][emoji1787]
Sawa andunje ila next tyme jitahidi uchore 7 fasta hapo Kabla ya discussion.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa andunje ila next tyme jitahidi uchore 7 fasta hapo Kabla ya discussion.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unasikia wewe popoma, kweli google raha sana.

Messi ana urefu wa futi 5 na nchi 6 na nusu, still nilikuwa siko sahihi kuwa nilibakiza nchi 2 tu, coz umenifanya hadi niende kwa seremala jirani nikachukue vipimo na kukuta nina futi 5.11.

Na nimethibitisha kuna nchi 12 ktk futi 1, so kumbe nimebakiwa na futi 1 pekee nifike futi 6, hutaki mlete Dada yako aje kwangu athibitishe.

Acha bangi toto la Mama, mi ni mrefu kama hutaki andamana lkn ukweli halisi ni Mungu ndiye ananishuhudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China ni wafupi ila wana jeshi imara sana. China ni wafupi, lakini kazi yao kwenye teknolojia si kitoto. So kama urefu ni akili hayo mambo ya chromosomes, wachina wangeyaelewa ili wapate warefu. Ila pia, ukipata chance ya kutengeneza 'hybridi' na couple ndefu si mbaya. Urefu pia ni mzuri kwa bongo hasa ukiwa mwalimu maana unaweza andika ubaoni bila kusimamia kucha, na kuwaona vizuri watoto wanaotoroka shule, lakini marekani urefu uleule ungekufanya uwe na pesa kwa kucheza kikapu.!.hahahahaha!(tusake pesa vimo hivi kama havitupi maslahi havina maana kwetu-kimo ni fursa)
Ila mkuu tukisema wachina ni wafupi tunakosea, wachina wanateseka na nchi yao wana shida kinyama, usoshalisti kama ilivyo tanzania ni Mateso tupu, mdau mmoja alisema lishe kipindi cha ukuaji husababisha ufupi, hivyo wachina dhiki ndo zimewafupisha, ila Marekani na ulaya lishe bora kipindi cha makuzi ndo kimewarefusha.
Mimi ni mfupi yaani nina sm 164 lakini nafahamu ufupi huu ni kudumaa wakati nasoma bording school lishe ilikuwa duni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.

Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi wafupi mno kwa kweli. Nadhani kuna haja ya kulitazama hili swala kwa jicho la tatu, kwa mstakabali wa mwendelezo wa kizazi chetu. Ikiwezekana mashuleni kwenye mambo ya genetics basi wanafunzi wafundishe hata unapotaka kuchagua mwenza basi hakikisha angalau unachagua yule mnaepisha kimo ili angalau kutokomoza tatizo la ufupi.
Kwa sababu nimegundua pia inachangiwa pia unakuta mtu mfupi then anaoa mfupi mwenzia.
Inashangaza mimi naonekana mrefu wakati ukienda maeneo mengine mimi ni wakawaida tu. Sijabahatika kufika nchi za wenzetu hasa ulaya, lakini hawa wote ninaowaonaga hapa kwetu wengi ni wana vimo vya kuridhisha sana. Yaani hata mimi nikikaa katikati yao naonekana wa kawaida tu. Ukiangalia hata hapa Afrika mashariki wenzetu kuna unafuu aisee.

Nb:samahanini kwa wale warefu kwenda chini kama nitakuwa nimewakwaza.

emoji2398.png
troublemaker 2019. all right received.
Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu" so huwezi jua kimo cha mungu ama ni mrefu ama ni mfupi...acha kudhihaki viumbe vya muumba wetu
Screenshot_20190325-083647.png
 
Nilisoma sehemu wanasema watu wafupi wanakua na hasira muda mwingi sababu mfuko wa mavi unakua karibu na moyo so sababu ya lile joto kila saa moyo unakua juu juu na inaleta hasira.

No hard feelings,tusameheane.

Sent using Jamii Forums mobile app

dhihaka hizo kwa binadamu mwenzio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom