Watanzania wengi wafupi mno

Watanzania wengi wafupi mno

Shida sio kuwa mfupi shida ni mtu kushindwa kukua mpaka kimo anachostahili. Unadumaa sio kimwili tu hata kiakili pia. Tuwape lishe ya kutosha watoto wetu hasa hasa zile siku 1000 za mwanzo, protein iwe ya kutosha hapa msijibane watoto wenu waweze kufikia vimo wanavyostahili.
Kimo kinachostahili ni kipi? Ni kimo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diet yetu labda? Ugali wa mahindi unadumaza!
Numejaribu kuwa ignore mnaokomalia diet ndio sababu ila naona mnajipa confidence na kutaka kuconclude kuwa diet ndio tatizo. Hivi waafrika magharibi wanakula msosi mzuri kuliko sisi?. Mbona hayahaya mazingira tuliyo nayo wengine ni warefu?. Tukienda kiresearch basi mmefeli sana kwa sababu hakuna consistency katika reasons zenu. Hebu jipangeni vizuri

Diet ya Africa magharibi ni tofauti na yetu.....sisi wala mahindi tupo na wakenya, burundi, kongo kidogo maana kuna sehemu diet yao ina ngano zaidi mpaka pande za Rwanda
 
Diet ya Africa magharibi ni tofauti na yetu.....sisi wala mahindi tupo na wakenya, burundi, kongo kidogo maana kuna sehemu diet yao ina ngano zaidi mpaka pande za Rwanda
Unataka kusema wale jamaa wanakula vizuri kuliko sisi. Mbona kwenye muvi zao kuna ugali kama wetu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania sio wafupi ila asilimia kubwa tumedumaa
Vyakula tunavyokula finyu sana katika makuzi yetu
lakini
Maziwa huwa yanasaidia sana katika ukuaji wa mwli ndio maana asilimia kubwa ya Masai ni warefu
Rwanda inasemwa kunywa sana maziwa ndio maana ni warefu
Uholanzi inasemwa kuongoza kwa unywaji wa maziwa na pia inaongoza kwa watu wake kuwa na wastani was urefu zaidi duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] wewe mtu mfupi wa Tanzania umebuni nini. [emoji3]Acha ubishi fanya mpango kizazi chako kijacho kipande kimo aiseeh ufupi unaboa, sidhani kama unaupendelea.

[emoji767]troublemaker 2019. all right received.
Mimi ni mfupi ndio, tukutane Mimi na wewe tuoneshane mafanikio na innovations za maisha ujione ulivyo zuzu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom