Watanzania wengi wafupi mno

Watanzania wengi wafupi mno

Mm ni mrefu kabisa na mke wangu mrefu kabisa na msambwanda wa kumwaga kabisa.. Ila nyumba ndogo nyumba ya kupooza kiu ni fupi na tak.0 kubwaaaaaaa la kiarab yaani...
Dah! Kudadadeki
 
Mkuu nadhani hauelewi kananuni ya kupenda ambavyo ilivyo hapa duniani.
Mtu hutamani asicho nacho.
Wewe unamtamani mwanamke kwa kuwa alichonacho wewe hauna, haukujaliwa kuwa nacho.
Mrefu anamtamani mfupi na kinyume chake.
Mweusi ana mtamani mweupe na kinyume chake.
'Mzuri' anamtamani 'mbaya' na kinyume chake.
Hauwezi ku create kanuni tofauti na mapenzi ya Mungu.
Kulazimisha ni kubaka na hauwezi kubaka penzi ni jambo la hiari.
Kipenda roho huka nyama mbichi, au siyo!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
maker, post: 30866917, member: 294185"][emoji3][emoji3][emoji3]hujalala tu

Yaani ni tabu lakini sasa itakuwaje nchi inaendelea kuwa na jamii ya watu wengi wafupi mkuu

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.[/QUOTE]
Wajapani wachina wana tatizo gani na ufupi? UREFU UTAWASAIDIA NINI? AU UMEWAKOSESHA NINI? FANYA KAZI KWA AKILI NA NGUVU KUJIlETEA MAENDELEO. Fikiria kitu kingine ambacho ni tatizo
 
Generally wanawake wengi wana Low regard kuhusu wanaume wafupi. Wanapendelea wanaume matolu. Tena wengi hupenda hata akivaa High heels asimzidi Mwanaume wake. Ili ajiskie salama zaidi.
But
Wanaume wafupi wanajua kupachika mimba sana. Ukigusa tu, imenasa!. Na wengi huamini heshima yao itapatikana kutokana na idadi ya wanawake watakaowalala.

Zipo Variables zinazopelekea wadada kujikuta wanaangukia kuliwa na wanaume wafupi.

Mf. Wanaume warefu huaminika kua wanaringa nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mtaongea kila baya na zuri lakini sababu halisi hamtazijua,that z nature inatokea tu
Tangu lini mwanamke hasa akiwa maskini akachagua,urefu sijui una impact gani kwenye maisha zaidi ya proudness yaani ni sawa na wanafunzi wa chuo kulingia kozi zao mwisho wa siku mtaani hakuna manufaa
 
Ukishakuwa mrefu tayari automatically wewe ni handsome

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi ni mfupi ila huwa napenda kutania wanawake kwamba najua hamtupendi wanaume wafupi ila kuliko uolewe na mwanaume mrefu afu sura Kama tairi ya grader Bora uolewe na mfupi maana ikitokea tu ukazaa mtoto wa kike akafanana na baba yake utamuoa mwenyewe
 
Mimi nime substitute mcute mfupi kwa wa kawaida mrefu kama mimi.
Baba yangu tall kweli, alioa mfupi, sasa baba amenizidi urefu kidogo.
Sasa lazima nioe huyu normal tall, wanangu wanizidi kimo.

Kwa kweli hili ni la ku consider mazee, sisi wabongo wafupi sana, inapaswa intermarriages with taller bongos ili hali isizidi kuwa mbaya.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma sehemu wanasema watu wafupi wanakua na hasira muda mwingi sababu mfuko wa mavi unakua karibu na moyo so sababu ya lile joto kila saa moyo unakua juu juu na inaleta hasira.

No hard feelings,tusameheane.

Sent using Jamii Forums mobile app


πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Oooh. Safi sana Mpwa. Haya wacha niwe nahesabu wafupi wenzangu hapa. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hahahahah, aunty jamani nawe.

Nimeshindwa hata niongee nini kwa jinsi ulivyonifunga mdomo jmn.

Daaaaaah, sawa my dear.
 
Basi tuna bahati mbaya kama taifa maana wafupi ni wengi warefu wachache halafu woote na hao warefu waliopo hawana akili ndo maana nchi inaendelea kuwa ombaomba miaka yote!...nilifikiri warefu waliopo watakuwa pia na akili kumbe na wao ndio zero kabisa sijui tumemkosea nini mungu kama taifa
 
Back
Top Bottom