PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Kimo kinachostahili ni kipi? Ni kimo gani?Shida sio kuwa mfupi shida ni mtu kushindwa kukua mpaka kimo anachostahili. Unadumaa sio kimwili tu hata kiakili pia. Tuwape lishe ya kutosha watoto wetu hasa hasa zile siku 1000 za mwanzo, protein iwe ya kutosha hapa msijibane watoto wenu waweze kufikia vimo wanavyostahili.
Sent using Jamii Forums mobile app