Watanzania wengi wafupi mno

Watanzania wengi wafupi mno

Hata dalili ya kulala sina 😂

Itabidi tupambane tu na mbegu mpya zinazokuja...ziwe fupi ama ndefu

Halafu uzuri watu wafupi nasikia hawazeeki kizembe zembe...hiyo ni faida pia kwa taifa letu 🤔🤔
Wewe utakua ni mfupi
 
Back
Top Bottom