Watanzania wengi Wanaamini ukiwa kiongozi Mkubwa huwezi tenda Makosa. Huku Lissu kule Kabendera wote wanapingwa vikali

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Mpo Salama!

Watanzania wengi wametoka na kulelewa kwenye jamii nyingi zinazomini na kufundisha kuwa MKUBWA HAKOSEI.

Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa Mzazi wewe tayari ni Mungu hivyo hukosei na hupaswi kuambiwa umekosea.

Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa kiongozi Mkubwa labda Rais, Waziri, Mkurugenzi, Boss au Padri au Sheikhe basi huwezi Kukosea. Hao ni Watanzania.

Unajua sababu ni nini?
Sababu ni kuwa Watanzania wengi ni Watumwa, kama sio watumwa WA kiuchumi basi Watumwa Kifikra.

Mtanzania ukimwambia mzazi Fulani kamdhuru Mtoto wake atakukatalia katakata Mpaka uwe na ushahidi WA wazi. Lakini mtanzania huyohuyo ukimwambia mtoto kamdhuru mzazi wake Wala hatahitaji ushahidi atasadiki.

Pia soma: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Kuna wadau wamenichekesha kweli kwenye Hili sakata la kitabu cha Kabendera, mtu Mmoja akasema ati JPM hawezi kushika bastola na kummwaga mtu ubongo. Ukimuuliza kwa nini anaamini hivyo utashangaa Sana.

Watanzania, mtu ni mtu tuu bila kujali jinsia yake, umri wake, cheo chake, Elimu yake n.k.

Kuwa Mzazi hakumfanyi mtu asitende uovu au uhalifu.

Kuwa Rais au Waziri au mfalme hakuondoi ubinadamu wa Mtu.

Ogopa watu ambao hawataki kukosolewa. Ogopa Sana.

Hakunaga watu waovu na mashetani kama watu wanaopinga kukosolewa.

Iwe ni Mzazi, iwe ni kiongozi, iwe ni Mume, mtu yeyote anayejifanya kwa vile ni Mkubwa au anasifa Fulani ndio anajifichiemo humo asikosolewe ukifuatilia ni mbaya Sana kuliko wale ambao wanaruhusu kukosolewa.

Mtu muovu hataki kukosolewa ili ukweli wake ujulikane. Hataki vazi la Kondoo alilovaa liondolewe huku yeye ni mbwa mwitu. Hataki kuumbuka.

Sisi watibeli hatuwapi watu heshima kwa Jinsia Zao, kwa umri wao, kwa cheo chao,kwa mali Zao, Bali tunawapa watu heshima kwa matendo Yao.

Ndio maana Sisi wengine tunapokutana na aina Fulani ya watu waliozoea heshima za Watumwa wanatuona tuna dharau.

Uongozi wako, pesa zako, umri wako, Jinsia yako hauna maana yoyote kwa Watibeli ikiwa haujiheshimu na kuheshimi watu wengine.

Nawatakia jioni Njema
 
Hata Mimi nakushangaa wewe
Wewe unaamini hilo yaani JPM alishika bastola na kumchapa mtu risasi? Yaani pale Ikulu?

Kwanza umewahi kuingia ikulu ile ya Dar? Rais ampige risasi mtu halafu hiyo siri isijulikane aje aitoe Kabendera?

Halafu Rais avae pajama aende kutaka kumbaka Makamu wa rais? Yaani ikulu nzima izimwe taa zote na kule kwa makamu hakuna walinzi? What level?

Mimi siamini
 
Kwa hiyo kipi kinakufanya usiamini, Mazingira ya eneo kufanya tukio au Mhusika kufanya tukio?
 
Fact. ila jua magufuli alifanya hivyo kwa faida ya taifa, hasa wanainchi wayonge.
 
Watu waamini kiongozi anaweza kukosea.

Ila ukiwa kiongozi MSUKUMA wanaamini huwezi kukosea.
 
Mpo Salama!

Watanzania wengi wametoka na kulelewa kwenye jamii nyingi zinazomini na kufundisha kuwa MKUBWA HAKOSEI.

Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa Mzazi wewe tayari ni Mungu hivyo hukosei na hupaswi kuambiwa umekosea.

Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa kiongozi Mkubwa labda Rais, Waziri, Mkurugenzi, Boss au Padri au Sheikhe basi huwezi Kukosea. Hao ni Watanzania.

Unajua sababu ni nini?
Sababu ni kuwa Watanzania wengi ni Watumwa, kama sio watumwa WA kiuchumi basi Watumwa Kifikra.

Mtanzania ukimwambia mzazi Fulani kamdhuru Mtoto wake atakukatalia katakata Mpaka uwe na ushahidi WA wazi. Lakini mtanzania huyohuyo ukimwambia mtoto kamdhuru mzazi wake Wala hatahitaji ushahidi atasadiki.

Kuna wadau wamenichekesha kweli kwenye Hili sakata la kitabu cha Kabendera, mtu Mmoja akasema ati JPM hawezi kushika bastola na kummwaga mtu ubongo. Ukimuuliza kwa nini anaamini hivyo utashangaa Sana.

Watanzania, mtu ni mtu tuu bila kujali jinsia yake, umri wake, cheo chake, Elimu yake n.k.

Kuwa Mzazi hakumfanyi mtu asitende uovu au uhalifu.

Kuwa Rais au Waziri au mfalme hakuondoi ubinadamu wa Mtu.

Ogopa watu ambao hawataki kukosolewa. Ogopa Sana.

Hakunaga watu waovu na mashetani kama watu wanaopinga kukosolewa.

Iwe ni Mzazi, iwe ni kiongozi, iwe ni Mume, mtu yeyote anayejifanya kwa vile ni Mkubwa au anasifa Fulani ndio anajifichiemo humo asikosolewe ukifuatilia ni mbaya Sana kuliko wale ambao wanaruhusu kukosolewa.

Mtu muovu hataki kukosolewa ili ukweli wake ujulikane. Hataki vazi la Kondoo alilovaa liondolewe huku yeye ni mbwa mwitu. Hataki kuumbuka.

Sisi watibeli hatuwapi watu heshima kwa Jinsia Zao, kwa umri wao, kwa cheo chao,kwa mali Zao, Bali tunawapa watu heshima kwa matendo Yao.

Ndio maana Sisi wengine tunapokutana na aina Fulani ya watu waliozoea heshima za Watumwa wanatuona tuna dharau.

Uongozi wako, pesa zako, umri wako, Jinsia yako hauna maana yoyote kwa Watibeli ikiwa haujiheshimu na kuheshimi watu wengine.

Nawatakia jioni Njema
Wewe unaweza kutueleza makosa ya babaako au mamaako? Tunasubiria! Ahahahahaha!!!
 
Kabendera ana stress na hasira kwanza kwa mnyoosho aliopata toka kwa mwamba JPM.

Ni kichaa na mpumbavu pekee ataamini upumbavu na zile takataka alizoandika Kabendera
 
Swali ni kuwa Kiongozi anaweza Kukosea au hawezi? Ukijibu hapo tunaweza kuendelea
 
Back
Top Bottom