Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

Aisee mbona anatumia nguvu kubwa kuongea na mwendawazimu....hizi ni mada za kuchangamsha jukwaa Tu haina uhalisia
 
Ukiwa fundi garage punguza dharau na magari ya wanaume waliojipinda kununua kwa jasho lao. Fool

Ni sawa na wadada wa benki (Bank tellers), yaani akigundua kwenye akaunti yako una chini ya Tsh. Milioni 10 anakuangalia kwa jicho la dharau utafikiri benki ni ya Bwana wake. Fools
 
Luxury kama gari ipi, na umeendesha crown gani ya mwaka gan yenye old tech
 
Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, wewe kama kamba yako inakuruhusu kupata hayo mahitaji yako usitufokee sisi pata sote.
Alafu mwanaume kujisifia unaendesha gari nzuri mbele ya wanaume wenzako si kitu kizuri.
 
Ungeweka na Miaka Mkuu,ya hizo gari ulizoendesha
 
Me nimewaza hivohivo aweke na miaka tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…