itscowboy98
JF-Expert Member
- Dec 9, 2025
- 883
- 1,427
🤣🤣Ni suala la muda tu Mkuu kwa orodha hiyo aliyoweka nahisi anatafuta zilizobaki utafikiwa tu dah!! jamaa jauBora hujanitukania gari yangu
🤣🤣Ni suala la muda tu Mkuu kwa orodha hiyo aliyoweka nahisi anatafuta zilizobaki utafikiwa tu dah!! jamaa jauBora hujanitukania gari yangu
🤣🤣🤣Wanaonaga kama Bank za babazao manina KweliUkiwa fundi garage punguza dharau na magari ya wanaume waliojipinda kununua kwa jasho lao. Fool
Ni sawa na wadada wa benki (Bank tellers), yaani akigundua kwenye akaunti yako una chini ya Tsh. Milioni 10 anakuangalia kwa jicho la dharau utafikiri benki ni ya Bwana wake. Fools
🤣🤣🤣 Hata mkweche wa toyo hana huyu aliyeanzisha hii madaPureView zeiss njoo utoe takataka yako hapa parking. View attachment 3624616
Kila mtu tajiri huku an balaaa tupuChuma kama hii imenyooka alafu anakuja MTU na njaa zake anasema watanzania wanaendesha takataka.
Mitandaoni kuna Uhuru sanaa
Ndo uyataje sasaKuna Mazda Cx 9 tena ni za 2019 na 2020 kwa sasa nadhan kuna model yajuu zaid au improved
Kwenye series za Cx ndo hio Cx 9 na maboresho yakeNdo uyataje sasa
Mbona latest models za hizo zipo?Toyota Prado
Nissan patrol
The Mazda CX-10 is widely discussed in automotive concept and media reports as a prospective flagship luxury SUV slated for release around 2027,Kwenye series za Cx ndo hio Cx 9 na maboresho yake
The Mazda CX-10 is widely discussed in automotive concept and media reports as a prospective flagship luxury SUV slated for release around 2027,
Kwenye series za Cx ndo hio Cx 9 na maboresho yake
Endesha punda hutojuta. Hata Yesu alipanda punda kuingia JerusalemWiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol
Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design
Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
Hawana hii gari wanatoa CX-30, CX-90 na nyinginezo na hawapo kwenye mpango wa kutoa hiyo 10..CX-60 nimeona ipo..The Mazda CX-10 is widely discussed in automotive concept and media reports as a prospective flagship luxury SUV slated for release around 2027,
Ila wahaya bhana kwa kujishongondoa utadhani wana kituWiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol
Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design
Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
Yeye ni mwendesha baiskeli tu, zile phoenix wanazofanya daladala huko kwao..,😁 ila aliskia watu wajinga kijiweni kwao wanajadili magari akaona hiyo mada na yeye aje nayo huku!Mkuu gari ulizotaja zina matoleo ya zamani na haya mapya hapo haujaonyesha hizo gari ulizoendesha ni za model gani..
Maana karibu hizo gari nyingi wametoa model za miaka ya karibuni pia je uliweza kuendesha Mazda ya 2018 kuja miaka ya karibuni au jiwe la Nissan Patrol la 2018 pia kuja mbele ili nione hiyo hoja yako kama ina mashiko mkuu.
Fortuner zitapungua za 2024/5 zina kodi ya 65m labda kama utachukua mpya upate na sadc paper ili kupunguza makali nashangaa Tanzania hatuitaki sadc paper za magari ila tunakubali za matunda kuna muda sioni faida ya hiyo sadc magumashi yao..Hapo kwa Fortuner umeongopa! Latest yake umeiona Mashine Kubwa
Sasa kwa maisha yetu unaweza kuvuta gari kama za Lugumi ,Bakhresa au GSM? Garage ya Lugumi gari ya bei rahisi ni LC 300 ambayo si chini ya 500m.Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol
Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design
Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety