Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

🤣🤣🤣Wanaonaga kama Bank za babazao manina Kweli
 
Endesha punda hutojuta. Hata Yesu alipanda punda kuingia Jerusalem
 
The Mazda CX-10 is widely discussed in automotive concept and media reports as a prospective flagship luxury SUV slated for release around 2027,
Hawana hii gari wanatoa CX-30, CX-90 na nyinginezo na hawapo kwenye mpango wa kutoa hiyo 10..CX-60 nimeona ipo..
 
Ila wahaya bhana kwa kujishongondoa utadhani wana kitu
 
Yeye ni mwendesha baiskeli tu, zile phoenix wanazofanya daladala huko kwao..,😁 ila aliskia watu wajinga kijiweni kwao wanajadili magari akaona hiyo mada na yeye aje nayo huku!

Msameheni tu!
 
Sasa kwa maisha yetu unaweza kuvuta gari kama za Lugumi ,Bakhresa au GSM? Garage ya Lugumi gari ya bei rahisi ni LC 300 ambayo si chini ya 500m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…