OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Muhammad Ali said " it ain't bragging if you done it"
Kuna mtu katu paint wabongo tuliosoma nje kama kiingereza kinatupiga chenga sana vyuoni.
Nilitaka kuonesha upande mwingine tu kwamba kuna watu tulichachafya mpaka tukaambiwa hatuhitaji kufanya mtihani wa mwisho wa semester.
Unaniita pompous halafu unaniomba msaada. Wewe zimo kichwani kweli? Mimi kuonesha mfano tu kwamba this need not apply to all Tanzanians nisha inspire wengi na kusaidia.
Unataka ushauri kutoka kwa mkoloni mweusi? Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Kachimbe chumvi tu.
Wewe hate tu.
We've been rocking big bang presentations since Peter Jennings was an anchor.While the Mwenge rallies that got your dad into Dar were probably in the future.
Whachu know about that?
Hayo maswali ya muongozo ndo unayaona kama naomba msaada wewe kweli bado uelewa wako mdogo sana!!!!!!!!Wasomi hutoa methodology sio findings na conclusions au recommendations!!!!!!ndio msingi wa hayo maswali wewe mtu mzima mtoto wa kimawazo.
Yaani taste ya maelezo yako kuwa una uwezo ndio haionekani kwenye recipe yako sasa yaani ni kama unajaribu kuelezea imani yako ambayo haina rangi wala figure. Wewe huna elimu japo waweza kuwa umesoma!!!!!Ni historia yako tu ambayo haipimiki ndio unaielezea hapa wakati linahitajika suluhisho.
Kuhusu mjini ndio daaaanh hata sina haja ya kukuambia lolote maana historia ni ndefu sana!!!!!Si unaona bado unaamini waliofika Dar zamani ndo kila kitu na unasahau kwamba hapo kuna wenyewewazawa!!!!
Ha ha ahaaaaaaaaa eti hate!!!!! Yaani kukuambia wewe mshamba ndo nakuchukia na ishakuwa my dad got there kwa mbio za mwenge!!!!!Yale yale ya extensions ambazo ni redundant kwa mada husika ok mine got here through the said rally and yours got here by plane!!!!! How does it help on the said language barrier?????!!!!!!!
Ukitaka kujua maarifa yako duni bado unadhani kuchimba chumvi sio issue imagine!!!!! How many kilos get into human bodies!!!!Seriously hii sio big deal kutegemea na scale na tech involved in due processs??????!! We mtu unafikiriaje au mpaka mtu achimbe dhahabu ndo awe mchimbaji!!!!!Wote watatoka kwenye kundi la wachimbaji come classification.