watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

Muhammad Ali said " it ain't bragging if you done it"

Kuna mtu katu paint wabongo tuliosoma nje kama kiingereza kinatupiga chenga sana vyuoni.

Nilitaka kuonesha upande mwingine tu kwamba kuna watu tulichachafya mpaka tukaambiwa hatuhitaji kufanya mtihani wa mwisho wa semester.

Unaniita pompous halafu unaniomba msaada. Wewe zimo kichwani kweli? Mimi kuonesha mfano tu kwamba this need not apply to all Tanzanians nisha inspire wengi na kusaidia.

Unataka ushauri kutoka kwa mkoloni mweusi? Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Kachimbe chumvi tu.

Wewe hate tu.

We've been rocking big bang presentations since Peter Jennings was an anchor.While the Mwenge rallies that got your dad into Dar were probably in the future.

Whachu know about that?

Hayo maswali ya muongozo ndo unayaona kama naomba msaada wewe kweli bado uelewa wako mdogo sana!!!!!!!!Wasomi hutoa methodology sio findings na conclusions au recommendations!!!!!!ndio msingi wa hayo maswali wewe mtu mzima mtoto wa kimawazo.

Yaani taste ya maelezo yako kuwa una uwezo ndio haionekani kwenye recipe yako sasa yaani ni kama unajaribu kuelezea imani yako ambayo haina rangi wala figure. Wewe huna elimu japo waweza kuwa umesoma!!!!!Ni historia yako tu ambayo haipimiki ndio unaielezea hapa wakati linahitajika suluhisho.

Kuhusu mjini ndio daaaanh hata sina haja ya kukuambia lolote maana historia ni ndefu sana!!!!!Si unaona bado unaamini waliofika Dar zamani ndo kila kitu na unasahau kwamba hapo kuna wenyewewazawa!!!!

Ha ha ahaaaaaaaaa eti hate!!!!! Yaani kukuambia wewe mshamba ndo nakuchukia na ishakuwa my dad got there kwa mbio za mwenge!!!!!Yale yale ya extensions ambazo ni redundant kwa mada husika ok mine got here through the said rally and yours got here by plane!!!!! How does it help on the said language barrier?????!!!!!!!

Ukitaka kujua maarifa yako duni bado unadhani kuchimba chumvi sio issue imagine!!!!! How many kilos get into human bodies!!!!Seriously hii sio big deal kutegemea na scale na tech involved in due processs??????!! We mtu unafikiriaje au mpaka mtu achimbe dhahabu ndo awe mchimbaji!!!!!Wote watatoka kwenye kundi la wachimbaji come classification.
 
Hayo maswali ya muongozo ndo unayaona kama naomba msaada wewe kweli bado uelewa wako mdogo sana!!!!!!!!

Wasomi hutoa methodology sio findings na conclusions au recommendations!!!!!!

Yaani maelezo yako kuwa una uwezo ndio hayaonekani sasa yaani ni kama unajaribu kuelezea imani yako ambayo haina rangi wala figure. Wewe huna elimu japo waweza kuwa umesoma!!!!!

Kuhusu mjini ndio daaaanh hata sina haja ya kukuambia lolote maana historia ni ndefu sana!!!!!Si unaona bado unaamini waliofika Dar zamani ndo kila kitu na unasahau kwamba hapo kuna wenyewewazawa!!!!

Ha ha ahaaaaaaaaa eti hate!!!!! Yaani kukuambia wewe mshamba ndo nakuchukia na ishakuwa mya dad got there kwa mbio za mwenge!!!!!

Ukitaka kujua maarifa yako duni bado unadhani kuchimba chumvi sio issue imagine!!!!! How many kilos get into human bodies!!!!Seriously hii sio big deal kutegemea na scale na tech involved in due processs??????!!

A bucket of hogwash.

You have a license to hate. That hate will only consume you.

Ukishaniomba muongozo ndiyo ushaniomba msaada.

Na sina mpango na schizophrenic fence sitting chameleons.

Maelezo yangu hayana rangi wala figure, yame transcend the electromagnetic spectrum.

Like Guru said in "Take it Personal" "You wish you could live, the life that I live and kick the lyrics I kick. But bear in mind that you can't think as quick".
 
Hasa watu waliofeli hapa bongo wanakimbila ughaibuni nyie ndio mnaotuaibisha huko ughaibuni,hivi unakuta mtu kafeli kidato cha nne au cha sita unaenda marekani kusoma unaenda kusoma nini wakati hapa bongo umeshindwa?kama kwel upo fit kichwani piga first degree bongo au hata diploma ukimaliza nenda ughaibuni angalau utakuwa upo fit kuliko hawa waliofeli wakakimbilia nchi za nje.cha kushangaza watoto wa vigogo waliofeli wapo nchi za nje mtu kama huyu lazima atuaibishe watanzania kundi la watu wachache wanatupa fedhea watu mil 44
 
Bongo hamna kufeli. Kuna kukosa nafasi.

Hilo sijalisema mie. Kasema Baba Kabwela mwenyewe aliyeenda UNO na kutunga sheria tangu enzi za LEGCO.

Washukuru wanaoenda kujaribu nje, wote tungejazana hapo wanaotegemea remmittances wangefanyaje?

Mguu wa msafiri hata mitume wameubariki.

Waswahili wanasema mgaagaa na upwa, hali wsli mkavu.

Na mkaa bure si mtembea bure.
 
kwa ambao mmeenda chuo na mnaotarajia kwenda chuo nje ya Tanzania naomba mkazane sana kwenye English ya kuongea na kuandika.
nilishuhudia watu toka tanzania wakitia sana huruma kwenye presentation. wanaongea english mbovu sana adi inapelekea wakose ujasiri wa kusimama mbele.
jambo ilo lilinisikitisha sana kwa mtanzania kushindwa wakat wengine niliosoma nao toka china. mexico, said arabia, qatar,malaysia etc walikuwa wanajitaid japo walifundishwa secondary kwa lugha zao za ndani.
wito wangu kwa mnaosoma na mnaoenda chuo. English ni lazima ujue

Wewe mwenyewe unatia aibu sana hujui kiswahili mimi naenda kusoma Urusi na wameniambia kabisa naanza na lugha ya kirusi mwaka mzima ndio niingie kwenye lidigirii husika kwa kuwa wanafundisha kirusi sasa hicho kiingerezsa chako sijui ni cha kuombea uwaziri wa mambo ya nchi za nje na hata hao hawajui lugha za dunia nzima.Siku hizi teknologia iko juu kuna vyombo wewe unatema kisukuma na spika zinatema kimombo chake
 
Niliwahi kulisema hili jamaa wakanishambulia kweli, nkawaambia ok endeleeni na hiyo "local" language you'll always remain "local".

Wait a minute..... kwanza tukiongelea vyuo vya nje tunawaonea na tutakuwa tumekwenda mbali, hebu nenda vyuo vikuu vyetu hapa hapa nchini usikilize "presentations" za wadogo zetu wabongo utanambia!
 
A bucket of hogwash.

You have a license to hate. That hate will only consume you.

Ukishaniomba muongozo ndiyo ushaniomba msaada.

Na sina mpango na schizophrenic fence sitting chameleons.

Maelezo yangu hayana rangi wala figure, yame transcend the electromagnetic spectrum.

Like Guru said in "Take it Personal" "You wish you could live, the life that I live and kick the lyrics I kick. But bear in mind that you can't think as quick".

Hili ndilo nililitaka nikutoe kwenye gamba ubaki hivi ili na wewe ujijue upo kundi gani maana humu umekuwa ukijinasibisha kama muelewa saaaana ila angalia hata quotes zako zinaonesha wazi level yako na mlengo wako as well!!!!!!!

Maswali nimeuliza mimi wewe uyajibu for public use thus mimi ndo nakuongoza useme the useful sasa hapo tena nimeomba muongozo? ????? Ulikuwa unapaka poda wakati the hows were needed in adressing the case!!!!wewe kama mdoli bas betri zimegeuzwa!!!!

Lugha unayotumia ni kwa sababu uko on the ground thus the least to expect from your specie!!!!

Either hogwash or lazzybones who cares!!!!!Licence to hate yeah epecially the way you play the game but not you in person!!!! I hate your pompous attitude and pretence that you are superb in areas of knowledge while you are way too normal in education temperature scales!!!!! Except for the lingual acrobats!!!!
 
Wewe mwenyewe unatia aibu sana hujui kiswahili mimi naenda kusoma Urusi na wameniambia kabisa naanza na lugha ya kirusi mwaka mzima ndio niingie kwenye lidigirii husika kwa kuwa wanafundisha kirusi sasa hicho kiingerezsa chako sijui ni cha kuombea uwaziri wa mambo ya nchi za nje na hata hao hawajui lugha za dunia nzima.Siku hizi teknologia iko juu kuna vyombo wewe unatema kisukuma na spika zinatema kimombo chake

mkuu iko kiswahili chako kinatia huruma ebu angalia neno kingereza ulivyoandika !! wewe ata ufundishwe kirusi miaka 5 uwezi jua. Unaenda kutia huruma kwenye presentation, pole sana.
 
Kwa mtaji huu, wa Tz wengi wanatawaliwa kifikra, kumbuka elimu haipimwi kwa kujua lungha ya nchi nyingine
 
Kwa mtaji huu, wa Tz wengi wanatawaliwa kifikra, kumbuka elimu haipimwi kwa kujua lungha ya nchi nyingine

mkuu uko sahihi lakin kama umenielewa ninschosema watanzania wengi lugha ya english ni shida asa kwenye presentation vyuoni. yani ni shida sana na mara nyingi uzao wao ni shule za serikali.
 
Hili ndilo nililitaka nikutoe kwenye gamba ubaki hivi ili na wewe ujijue upo kundi gani maana humu umekuwa ukijinasibisha kama muelewa saaaana ila angalia hata quotes zako zinaonesha wazi level yako na mlengo wako as well!!!!!!!

Maswali nimeuliza mimi wewe uyajibu for public use thus mimi ndo nakuongoza useme the useful sasa hapo tena nimeomba muongozo? ????? Ulikuwa unapaka poda wakati the hows were needed in adressing the case!!!!wewe kama mdoli bas betri zimegeuzwa!!!!

Lugha unayotumia ni kwa sababu uko on the ground thus the least to expect from your specie!!!!

Either hogwash or lazzybones who cares!!!!!Licence to hate yeah epecially the way you play the game but not you in person!!!! I hate your pompous attitude and pretence that you are superb in areas of knowledge while you are way too normal in education temperature scales!!!!! Except for the lingual acrobats!!!!

You have yet to grasp the fullness of the complexities entailing the symmetric humors of Kiranga.

Unaumia sana nikisema nilivyofanya.

Mie niliyesema sijui na sijui hata kama sijui siwezi kujinasibisha na kuelewa.

Huko kuwa inquisitive na vigorously challenging ndiyo kujinasibisha na kuelewa? Ndiyo pomposity hiyo?

Do you have an inferiority complex?

Huko ku balance narrative ili watu waone kwamba si wabongo wote hopeless ndiyo unaona kujinasabisha na kuelewa?

Unavyozidi kuelewa ndivyo unavyozidi kuelewa huelewi, sasa kujinasibisha na kuelewa kwa mtu anayeelewa hili ni kuelewa au kutoelewa?

Kati yangu na wewe unaye dismiss quotes zangu summarily nani pompous?

Hivi ushawahi kujiuliza kama sababu pekee inayokufanya unichukie ni kwa kuwa unataka kuwa mimi ila huwezi?

Wewe uniongoze mimi kwa ujiko gani ulio nao?

Unajua sana habari za midoli, thats not kosher kwa marijali.

You are getting pompous on someone you accuse of being pompous, and at the same time you purport to abhor pomposity.

What a two bit hypocrite!
 
Tatizo sio wao,wao wanania ya kusoma ila misingi mibovu ya kuongea,kusoma na kuandika "kithungu" ndio tatizo
 
You have yet to grasp the fullness of the complexities entailing the symmetric humors of Kiranga.

Unaumia sana nikisema nilivyofanya.

Mie niliyesema sijui na sijui hata kama sijui siwezi kujinasibisha na kuelewa.

Huko kuwa inquisitive na vigorously challenging ndiyo kujinasibisha na kuelewa? Ndiyo pomposity hiyo?

Do you have an inferiority complex?

Huko ku balance narrative ili watu waone kwamba si wabongo wote hopeless ndiyo unaona kujinasabisha na kuelewa?

Unavyozidi kuelewa ndivyo unavyozidi kuelewa huelewi, sasa kujinasibisha na kuelewa kwa mtu anayeelewa hili ni kuelewa au kutoelewa?

Kati yangu na wewe unaye dismiss quotes zangu summarily nani pompous?

Hivi ushawahi kujiuliza kama sababu pekee inayokufanya unichukie ni kwa kuwa unataka kuwa mimi ila huwezi?

Wewe uniongoze mimi kwa ujiko gani ulio nao?

Unajua sana habari za midoli, thats not kosher kwa marijali.

You are getting pompous on someone you accuse of being pompous, and at the same time you purport to abhor pomposity.

What a two bit hypocrite!

Kiranga wasamehe hao sababu ata english unayoitumia wanaona maruweruwe na kizunguzungu
 
Kingereza makelele tu kama huna point, tena kingereza kina matter zaidi kwa watz kuliko wenye lugha zao.

Wanajua fika hiyo lugha imeletwa na meli, kikubwa wanaangalia content na point zako na wanajaribu kukuelewa as much as they can.

Sio kujua english ndio kujua point, japo sikatai kuwa control ya lugha ina umuhimu wake hasa kama ni muuza chai na unataka kutawala presentation yako.

Ingekuwa hivyo, st kayumba tungekuwa hatuendi kupresent, kikubwa elewa unataka kupresent nini, mengine ni details.
 
Mie siioni haya kabisa kutojua english mbona? Bora nione haya kutojua kihaya(@Bishanga) na wao ni jirani zangu kabisa.

Hivi hata shule za msingi hukuona watu wakiulizwa swali na mwalimu wanahaha na hali ni kiswahili tu? Kujiamini ni A na kujua lugha ni B na kujua linaloongelewa ni C.
 
You have a point kabisa, inngekuwa kingereza ndio kila kitu sijuo mchina, mrusi na mjerumani wangekuwa wapi.

Afu hapo penye kisukuma na spika kutema ung'eng'e nimepapendaje.

Wewe mwenyewe unatia aibu sana hujui kiswahili mimi naenda kusoma Urusi na wameniambia kabisa naanza na lugha ya kirusi mwaka mzima ndio niingie kwenye lidigirii husika kwa kuwa wanafundisha kirusi sasa hicho kiingerezsa chako sijui ni cha kuombea uwaziri wa mambo ya nchi za nje na hata hao hawajui lugha za dunia nzima.Siku hizi teknologia iko juu kuna vyombo wewe unatema kisukuma na spika zinatema kimombo chake
 
tehe....tehe... hivi kwanini watanganyika tunajikataa kiasi hiki?
tumejikataa hata kijita watanyika wakati wenzetu wanajita wanzaznibar
sasa leo tunaona fahari kuzungumzia na tunaona ushamba kwanini mtu anashindwa kuwasilisha kwa kingereza mbona wazungu kwetu wakiwa wanawasilisha wanawasilisha kwa kikwao na sisi tunawatafsiria acheni hizo bana
uwezo wa mtu hautapimwa kwenye lugha peke yake.
mbona wachina wanakuja hata kiingereza hawajui lakini maisha ynakwenda acheni kuwa watumwa kila wakati inatosha uwezo wako wa kuandika barua ya kazi na cv
 
watanzania mbona wanafanya vizuri tu nje, naona umekomalia presentation, ingawa inawezekana wapo ila wengi wanafanya vizuri tu , na kuongoza kwenye madarasa yao...
 
Hii inasabashwa na msingi mbovu wa lugha hapa bongo lakini wengi wana cope na wengine wakirudi huku hujifanya wamesahau kiswahili
 
Back
Top Bottom