Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Wewe utakuwa ni mpishi wa ndani. Sasa unapika chakula kibaya usiambiwe!
Watu huwapendi utakuaje mpishi wao mbona ningewapa sumu ya kuwaua taratibu,au nungechanganya na nyama kipande cha kinyonga waanze kunyonyoka nywele kama Mwakyembe
 
Wahindi nao ni hao hao bora hata kama wanapewa mshahara kidogo lkn waarabu wanawapa chakula na mavazi waliyoyachoka wao pia na kazi ngumu
 
Wahindi nao ni hao hao bora hata kama wanapewa mshahara kidogo lkn waarabu wanawapa chakula na mavazi waliyoyachoka wao pia na kazi ngumu


Basi nimegundua wewe una chuki tu, tena bila sababu...lakini usiseme wananyanyasa wakati huo huna ushahidi wowote...alafu hii mitumba tunayoletewa huku inatoka uzunguni na imeshatumika ndio tunaletewa tena kwa PESA, Lakini mbona tunanunua tunavaa! Au tususie kuvaa kwakuwa ni makombo kutoka kwa wazungu!!!

Kabla ya kuwasema waarabu, tujitathmini sisi kwanza kamanda!

niah
 
 
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
Nimefurahi jana napita posta nawaona watz wenye asili ya asia, wakishuka na watoto wao kwenye VX moja matata. Kizuri kilichonifurahisha, wanabonga kiswahili wao kwa wao. Inaonekana kama wameamua kiswahili ndìo lugha ya nyumbani.
 
Najua wanakupenda kwakua unawapa kisamvu ila taabu na shida zinakukosesha amani kwakua huna mfuniko unaogopa hata kujamba
Acha matusi wewe! Ni kesi ngapi Tanzania zimepata kutokea za Watanzania kuwanyanyasa tena kwa kiwango cha kutisha ma-house girls ambao ni Watanzania wenzao?! Tena hizo ni kesi zinazoripotiwa lakini kuna zingine kadhaa ambazo haziripotiwi!
 
Mkuu kwa nini huwapendi mabeberu wenye asili ya eshia? Konde boy mchumbiji mie nmechanga na u cr7.
 
Kuwa mwarabu alafu hamna hata maroli nyumbani ni zaidi ya kujipendekeza. Mm wazazi wangu wote ni waarabu ila mimi si mwarabu ni Mnyalu
 
mludego, Si bora ya wao wanapewa bure wakati huku tunanunua kwa pesa! Acha chuki za kijinga fanya kazi...mwanaume ni aibu kulialia..mpaka wakina niah wanakucheka bwana, acha hizo mtoto wa kiume!
Kwa hiyo waarabu wanawapa mitumba? Nani anaelia hao kina niah na wewe mnatofauti gani?
 
Kwa hiyo waarabu wanawapa mitumba? Nani anaelia hao kina niah na wewe mnatofauti gani?


Nimekuambia hivi! acha kulialia mtoto wa kiume unamwaibisha mwenye jukwaa...au ninyi ndio wale mnaotokea vijijini na vis-creen tochi kuja kutusumbua huku mitaani!!! Maana mkishapaga vihela vya korosho/pamba mnakimbilia techno na kutusumbua wakubwa zenu humu. ebu kuwa mwanaume aliekamilika, acha kulialia mtoto wa kiume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…