Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Mi nimezaliwa muhimbili nimesoma mnazi mmoja primary,nina ndui,baba yangu ni mtoto wa mjini kabisa,kiswahili ndio my first language,jina na urefu tu ndio tatizo
Tatizo mnajikuta watutsi kwa kulazimisha tu coz mnaona ni sifa...mnadhani Rwanda ni ulaya na kila siku mko mnadowea tz? Mkimbizi anapopewa hifadhi analazimisha na uraia kabisa.

Refer warundi wa mishamo,mpanda katavi na wanyarwanda wa mwese.
 

Shida yenu mna ego sana. Mnataka kutuonyesha nyinyi ni kabila bora. Hapo ndipo mnayakanyaga
 
Uko sahihi,mifumo nimibovu sana
 
Kabla ya mkoloni hakukuwa na passports Wala mipaka ya Sasa.
Hatukupungukiwa na kitu, tumewekewa mipaka bandia imeleta Vita na kubaguana, utengano na kila ghasia.
"How good and how pleasant it would be
Before God and man,
To see the unification of all Africans"
Bob Marley said.
Ardhi ndogo ni matatizo yao siyo ya kwetu!

Hawa warudishwe kwao hivyo hivyo watajijua wenyewe.
 
Unayoyazungumza yalishafeli, tufuate hali halisi ilivyo hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…