Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu, wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia Pwani ila niko huku kikazi ujombani.

Kuna mwenzangu aliambiwa atamke nne akasema ine, boksi akatamka bokisi, alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.

Kijijini kwa mama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenye miaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.

Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.

Kuanzia Kahama, Nasumbwe, Runzewe, Ushirombo, Ngara, Karagwe, Biharamulo watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu. Tunaishi nao na tumezaa nao, sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?

Tanzania kuna Watutsi, Wakamba, Wamasai, Waganda-Kyaka etc wote Hawa ni raia
 
Nina rafiki niliosoma nao wenye asili ya huko. Ukubwani huku wamerudisha mapenzi ya kwao na hasa ukizingatia kuna umoja wa watu wa huko. Kiuhalisia hata muwe na uraia wa hapa Tz na kupata kazi mamlaka za juu bado mioyo yenu inakuwa Rwanda
Kuna mshikaji mmoja ni DJ wa club za usiku pale Mwanza, tena yeye huwa anavaaga kabisa na litisheti ameliandika.

"I might be be born and raised in Tanzania, but my heart was made in rwanda" ...

Huyo jamaa amezaliwa na kukulia Mecco pale na hajawahi hata kuishi Rwanda, ila sasa anavyoikubali Rwanda na kuipondea Tz, mpaka anatia shaka, ukimuona hata huulizi kama ni mtutsi.

Naungana na yule anayesema hawa jamaa tuwachukulie kama maadui wa taifa, mathalani tu wana asili ya Rwanda haijalishi hata kama maisha yao yote wameishi hapa nchini kwetu.
 
Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu, wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia Pwani ila niko huku kikazi ujombani.

Kuna mwenzangu aliambiwa atamke nne akasema ine, boksi akatamka bokisi, alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.

Kijijini kwa mama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenye miaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.

Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.

Kuanzia Kahama, Nasumbwe, Runzewe, Ushirombo, Ngara, Karagwe, Biharamulo watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu. Tunaishi nao na tumezaa nao, sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Msipewe tu nyie watu wakorofi hatuwataki
 
Hawa watu ni kichomi
 
Nashangaa serikali na vyombo vyake hawakuliona hili
Tuko kwenye awamu isiyojali chochote especially kuhusiana na jambo kama hilo La kuwa makini na wageni ambao ni potential enemies...

Angalau kidogo awamu ya nne na ya tano zilionesha kujali.
 
Wanasaidia uchumi wa nchi. Hata Zambia na Malawi kuna wanyakyusa wameshika uchumi wa huko.
Kuchangia kwao uchumi wa nchi sio sababu ya sisi kuwa complacent na kuacha kuwatilia shaka uwepo wao humu nchini.... yaani hawa wanatakiwa wafanyiwe surveillance moja ya hatari.

Kuhusu uwepo wa wanyakyusa huko Zambia hauwezi kuwa threat sawa na hawa wanyaru hapa bongo.
 
Kuna Dada namfahamu anafanya kazi Kigali ila anamiliki nyumba geita yeye na ukoo waje wote.

Inabidi serikali waivunje uhamiaji ipewe jeshi ( JWTZ) naona ndio wazalendo waliobaki.
Moja ya taasisi ambayo inanuka rushwa iliyokithiri ni hiyo uhamiaji.

Kuna mghana alikamatwa na cocaine huko Malaysia akiwa na passport inayomuonesha yeye ni mtanzania, ilikuwa ni kituko na aibu ya mwaka
 
Sio rahisi,kuna mwaka Kikwete alijaribu akashindwa,jamii ya kitutsi inazaa kwa fujo naeneo haya na wengine wamwjipenyeza kwenye chama mpaka serikalini,uchaguzi wa seeikali za mitaa uliopita kuna wenyeviti wa vijiji na vitongoji wengi sana wana asili ya rwanda
Kwani tatizo lipo wapi?. Ndo tumeanza leo kupakana na Rwanda/Burundi?.
Ni hivi, ukiwa ukiwa Tanzania utaongozwa na sheria na taratibu za Tanzania na ukubali, vivyo hivyo Rwanda, Burundi, Congo,.......
 
Kuna mshikaji mmoja ni DJ wa club za usiku pale Mwanza, tena yeye huwa anavaaga kabisa na litisheti ameliandika.

"I might be be born and raised in Tanzania, but my heart was made in rwanda" ...

Huyo jamaa amezaliwa na kukulia Mecco pale na hajawahi hata kuishi Rwanda, ila sasa anavyoikubali Rwanda na kuipondea Tz, mpaka anatia shaka, ukimuona hata huulizi kama ni mtutsi.

Naungana na yule anayesema hawa jamaa tuwachukulie kama maadui wa taifa, mathalani tu wana asili ya Rwanda haijalishi hata kama maisha yao yote wameishi hapa nchini kwetu.
Wote hawajioni kama watanzania wanajiona kama wanyarwanda.
 
Kuchangia kwao uchumi wa nchi sio sababu ya sisi kuwa complacent na kuacha kuwatilia shaka uwepo wao humu nchini.... yaani hawa wanatakiwa wafanyiwe surveillance moja ya hatari.

Kuhusu uwepo wa wanyakyusa huko Zambia hauwezi kuwa threat sawa na hawa wanyaru hapa bongo.
Kama wamefuata sheria kupata vibali vya kuishi hakuna tatizo. Kuhusu surveillance inawezekana hata wewe ulipo unafuatiliwa.. vyombo vya usalama viko macho muda wote.
 
Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu, wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia Pwani ila niko huku kikazi ujombani.

Kuna mwenzangu aliambiwa atamke nne akasema ine, boksi akatamka bokisi, alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.

Kijijini kwa mama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenye miaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.

Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.

Kuanzia Kahama, Nasumbwe, Runzewe, Ushirombo, Ngara, Karagwe, Biharamulo watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu. Tunaishi nao na tumezaa nao, sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Wakijitoa ufahamu wataludishwa kwenye kanchi kao hako kadogo kama pilitoni
 
Kama wamefuata sheria kupata vibali vya kuishi hakuna tatizo. Kuhusu surveillance inawezekana hata wewe ulipo unafuatiliwa.. vyombo vya usalama viko macho muda wote.
Sawa, hawa raia sio wa kuwaacha kabisa..!! Ni kuwawekea 24/7 surveillance maana akili yao huwa ni moja tu roho zao mbaya
 
Ni kweli watutsi, warundi na wakongo huwa wana hatari. Kwenye nchi jirani huwa hawana mzaha na mnyarwanda.
 
Wote hawajioni kama watanzania wanajiona kama wanyarwanda.
Halafu cha ajabu huko Rwanda penyewe hawataki kwenda kuishi... wanaendesha maisha yao wakitumia kila kitu cha hapa at the same time wakiiponda TZ na kuifagilia Rwanda, haya sasa waambie warudi kwao Rwanda wanakuwa wanyonge ghafla, wajinga sana hawa na huwa siwapendi kweliii,
 
Ni kweli watutsi, warundi na wakongo huwa wana hatari. Kwenye nchi jirani huwa hawana mzaha na mnyarwanda.
Sema kinachonipa matumaini mimi ni kwamba kati ya wageni wote tumekuwa tukiishi nao vizuri, ila hawa wanyaru kila mtu anawatilia shaka na yuko makini nao, hivyo hii tu peke yake ni hatua nzuri ya kuweza kuwadhibiti wasituletee hatari yoyote.
 
Mbona Watanganyika hatupewi ardhi Zanzibar na wanadai ni nchi moja, oops sorry kumbe Zanzibar ni nchi nyingine lakini raia wa kwao anatutawala tu.
I hope sijatoka nje ya mada 🤔🤔.
Wewe sio Mtanganyika wala Mtanzania, ni mtutsi wa rwanda.
 
Kuna Dada namfahamu anafanya kazi Kigali ila anamiliki nyumba geita yeye na ukoo waje wote.

Inabidi serikali waivunje uhamiaji ipewe jeshi ( JWTZ) naona ndio wazalendo waliobaki.
Peleka taarifa huko kwa wazalendo watajua namna ya kushughulika naye.
 
Back
Top Bottom