Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Hawawezi kutaka kabila maana hawakuingia Tanzania kihalahi. Hapo walianza tu ni ticket ya kufuta karatasi zao.
Wengi walikuwepo kabla hata ya wakoloni hawajaigawa Afrika vipandevipande sasa kuingia kihalali kivipi, wana uhalali zaidi hata ya baadhi ya makabila ya kibantu ya mipakani na Waarabu/Wasomali/Wahindi ambao huwa wala hawatiliwi shaka kwenye uraia.
Tatizo nililoliona ni inferiority complex ya sisi Waswahili.
Kuna demu namfahamu aliniambia kwenye documents zake zote kabila huwa anaandika Msomali, baba yake ni Msomali na mama yake ni Mhehe.
 
Hakuna cha jina la ujombani wala nini muulize bi mkubwa wako vizuri atakueleza, baba yako ni mtutsi, wanawake wa kinyarwanda wanatabia ya kwenda kwako kubeba mimba
Kwahiyo Pwani alijiegesha tu kurasimisha makazi
 
Watusi wanapewa ardhi huko vijijin wanaishi nenden Rwanda kama mtapewa ardhi
Mbona Watanganyika hatupewi ardhi Zanzibar na wanadai ni nchi moja, oops sorry kumbe Zanzibar ni nchi nyingine lakini raia wa kwao anatutawala tu.
I hope sijatoka nje ya mada 🤔🤔.
 
Mamlaka bado hazijaamka vizuri, inapaswa ipite operation nyingine ya kurudisha wahamiaji haramu kwenye nchi wanazotokea.
Waanze na Wahindi, kwa sisi tuliokulia Upanga tunajua jinsi wanavyokuja ki-Mafia mpaka wanajifunza Kiswahili na kugeuka raia fasta. Zaidi ya nusu ya Wahindi wa Tanzania ni wahamiaji lakini hakuna anayefuatilia, tuko kama South Africa tunawinda weusi wenzetu tu.
 
Nina rafiki niliosoma nao wenye asili ya huko. Ukubwani huku wamerudisha mapenzi ya kwao na hasa ukizingatia kuna umoja wa watu wa huko. Kiuhalisia hata muwe na uraia wa hapa Tz na kupata kazi mamlaka za juu bado mioyo yenu inakuwa Rwanda
Mjerumani alifanya sawa kuweka Rwanda na Burundi kuwa Tanganyika kwa sababu ilikuwa sahihi na tulipaswa kuwarudisha baada ya uhuru Suala wauhutu,watutsi kuwepo tanzania na kudesignate kama wote ni wanyarwanda sio sawa kwa kuwa hii hakuna kabila linaitwa wanyarwanda,hii ni kama ilivyo Mara wajaluo,Songea, Njombe,Sumbawanga,Mbeya,Songwe,Mtwara ambako watu wa jamii hiyo hiyo wanapatikana Tanzania na nchi jirani.Kwenye suala usalama ni hatari na haya ndio yamuathiri Ukraine,muhimu hapa ni kuwa ni mifumo mizuri ya kumonitor shughuli za watu hao hasa kwenye mipaka ya nchi hatari ambapo kimsingi tunapata changamoto Msumbiji na Rwanda tu kwingine hakuna shida
 
Waanze na Wahindi, kwa sisi tuliokulia Upanga tunajua jinsi wanavyokuja ki-Mafia mpaka wanajifunza Kiswahili na kugeuka raia fasta. Zaidi ya nusu ya Wahindi wa Tanzania ni wahamiaji lakini hakuna anayefuatilia, tuko kama South Africa tunawinda weusi wenzetu tu.
Wahindi sio dangerous kwenye security ila kwenye uchumi nao sasa wamekuwa daraja la tax evasion
 
Wengi walikuwepo kabla hata ya wakoloni hawajaigawa Afrika vipandevipande sasa kuingia kihalali kivipi, wana uhalali zaidi hata ya baadhi ya makabila ya kibantu ya mipakani na Waarabu/Wasomali/Wahindi ambao huwa wala hawatiliwi shaka kwenye uraia.
Tatizo nililoliona ni inferiority complex ya sisi Waswahili.
Kuna demu namfahamu aliniambia kwenye documents zake zote kabila huwa anaandika Msomali, baba yake ni Msomali na mama yake ni Mhehe.
The world need order in order to function. The order of the day is that if at the time of the freedom declaration you were domicile in Tanganyika then you are accorded the citizenship. Apart from that nop. And also we were able to integrate the 120 tribes to see themselves as one unlike the small country of Rwanda and Burundi who are not able to integrate 3 tribes to create one identity. That is your problem not ours. We like what we have created in our country and we are not about to change for you.
 
Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu, wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia Pwani ila niko huku kikazi ujombani.

Kuna mwenzangu aliambiwa atamke nne akasema ine, boksi akatamka bokisi, alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.

Kijijini kwa mama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenye miaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.

Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.

Kuanzia Kahama, Nasumbwe, Runzewe, Ushirombo, Ngara, Karagwe, Biharamulo watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu. Tunaishi nao na tumezaa nao, sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Acha porojo wewe! Hamuaminiki kabisa nyie! Mshauri wa kwanza wa Siasa wa Kagame alikuwa Seth Kamanzi huyu alisoma UDSM na hatimae kufundisha Political Economy pale IFM, muda wote akijifanya Muanganza wa Ngara!! Mupo wengi nyie kwenye system. Rejea alichosema CDF mbele ya Rais. NIDA zidisheni umakini kwenye vitambulisho msitishwe na kauli za mburura kama huyu.
 
Mjerumani alifanya sawa kuweka Rwanda na Burundi kuwa Tanganyika kwa sababu ilikuwa sahihi na tulipaswa kuwarudisha baada ya uhuru Suala wauhutu,watutsi kuwepo tanzania na kudesignate kama wote ni wanyarwanda sio sawa kwa kuwa hii hakuna kabila linaitwa wanyarwanda,hii ni kama ilivyo Mara wajaluo,Songea, Njombe,Sumbawanga,Mbeya,Songwe,Mtwara ambako watu wa jamii hiyo hiyo wanapatikana Tanzania na nchi jirani.Kwenye suala usalama ni hatari na haya ndio yamuathiri Ukraine,muhimu hapa ni kuwa ni mifumo mizuri ya kumonitor shughuli za watu hao hasa kwenye mipaka ya nchi hatari ambapo kimsingi tunapata changamoto Msumbiji na Rwanda tu kwingine hakuna shida
Unyarwanda ni utaifa si kabila. Haya mambo ya mipaka ukiyaangalia sana utaishia kusema acha ibaki kama ilivyo. Vinginevyo unaweza jikuta unaunganisha bara zima liwe moja. Hebu angalia muingiliano wa South Africa na Botswana, Lesotho na Eswatin then angalia ilivyo kwa Upande wa Ethiopia, Djibouti na Eritrea kisha nenda Africa Magharibi kule Nigeria, Togo, Niger na nchi nyinginezo. Huku kusini kwetu Wamalawi wanaamini Mbeya, Ruvuma na Njombe ilipaswa kuwa kwao kama ambavyo pwani ya Africa mashariki yote wazanzibar wanaamini ilipaswa kuwa kwao.

Acha mambo yawe kama yalivyo
 
Acha porojo wewe! Hamuaminiki kabisa nyie! Mshauri wa kwanza wa Siasa wa Kagame alikuwa Seth Kamanzi huyu alisoma UDSM na hatimae kufundisha Political Economy pale IFM, muda wote akijifanya Muanganza wa Ngara!! Mupo wengi nyie kwenye system. Rejea alichosema CDF mbele ya Rais. NIDA zidisheni umakini kwenye vitambulisho msitishwe na kauli za mburura kama huyu.
Wapo wengi walijipenyeza kwenye mfumo na sasa hivi wanachuma huku wanaijenga Rwanda
 
Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu, wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia Pwani ila niko huku kikazi ujombani.

Kuna mwenzangu aliambiwa atamke nne akasema ine, boksi akatamka bokisi, alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.

Kijijini kwa mama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenye miaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.

Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.

Kuanzia Kahama, Nasumbwe, Runzewe, Ushirombo, Ngara, Karagwe, Biharamulo watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu. Tunaishi nao na tumezaa nao, sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Idara ya uhamiaji izidi kuwa makini Sana kwa hawa watu..
Kosa tunaaloliona Leo Congo DRC.ndio ili ili la kuwapa Hali raia Watutsi..
Mleta mada..Umeandika upo ujombani! Ujui ujombani kwako ni wapi!Malezi yanajifunga na kuelekeza kukulia kwako pwani ni kujulisha Pwani imeiusaidia kujifunza lugha na nasaba yako si Tanzania...
 
Back
Top Bottom