Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Halafu cha ajabu huko Rwanda penyewe hawataki kwenda kuishi... wanaendesha maisha yao wakitumia kila kitu cha hapa at the same time wakiiponda TZ na kuifagilia Rwanda, haya sasa waambie warudi kwao Rwanda wanakuwa wanyonge ghafla, wajinga sana hawa na huwa siwapendi kweliii,
Waonyeshe upendo tu mkuu maana wengine ni mashemeji zetu wametuzalia wakina uncle. 🤣
 
Kuna mshikaji mmoja ni DJ wa club za usiku pale Mwanza, tena yeye huwa anavaaga kabisa na litisheti ameliandika.

"I might be be born and raised in Tanzania, but my heart was made in rwanda" ...

Huyo jamaa amezaliwa na kukulia Mecco pale na hajawahi hata kuishi Rwanda, ila sasa anavyoikubali Rwanda na kuipondea Tz, mpaka anatia shaka, ukimuona hata huulizi kama ni mtutsi.

Naungana na yule anayesema hawa jamaa tuwachukulie kama maadui wa taifa, mathalani tu wana asili ya Rwanda haijalishi hata kama maisha yao yote wameishi hapa nchini kwetu.
Huyo DJ ni nani?
 
Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu, wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia Pwani ila niko huku kikazi ujombani.

Kuna mwenzangu aliambiwa atamke nne akasema ine, boksi akatamka bokisi, alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.

Kijijini kwa mama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenye miaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.

Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.

Kuanzia Kahama, Nasumbwe, Runzewe, Ushirombo, Ngara, Karagwe, Biharamulo watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu. Tunaishi nao na tumezaa nao, sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Mrudi kwenu Full stop Bila mkato.
 
Na hapa ndio tatizo lilipoanzia, mkishaonaga tu zile figure namba nane na kiuno nyigu.... baasi mnachanganyikiwa mnawahonga mpaka na passport zetu kabisa
Si unaona figure zenyewe zilivyo mkuu? Nzi kufia kwenye kidonda ni ujasiri.
 
Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama, baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza, kosa kubwa..

Wiki mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu, wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia Pwani ila niko huku kikazi ujombani.

Kuna mwenzangu aliambiwa atamke nne akasema ine, boksi akatamka bokisi, alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.

Kijijini kwa mama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenye miaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.

Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.

Kuanzia Kahama, Nasumbwe, Runzewe, Ushirombo, Ngara, Karagwe, Biharamulo watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu. Tunaishi nao na tumezaa nao, sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?

Matatizo yote haya yamesababishwa na Serikali iliyopo madarakani kwa kukosa kuwajibika ipasavyo katika masuala ya Msingi katika nchi hii ya Tanzania.

Siyo Siri hata kidogo, Tanzania kuna Mifumo dhaifu Sana kupita kiasi kwenye suala zima la Mchakato wa Utambuzi wa Raia wake. Serikali ilichelewa Sana kuanzisha Mfumo mzuri na ulio dhabiti katika Utambuzi wa Watu wake. Mamlaka za Utambuzi wa Watu Kama vile NIDA ilipaswa kuanzishwa mara moja wakati nchi hii ya Tanzania ilipopata Uhuru wake kutoka kwa Wakoloni. NIDA ilichelewa sana kuanzishwa. NIDA ilianzishwa kwa kuchelewa Sana wakati kila kitu kilikuwa tayari kimeharibika.
 
Nakuuliza;
1.Hayo mahekari ya land mnayojimilikisha kwa maelfu nani aliwapa?
2.Ujambazi wa ng'ombe mmeacha ?
3.Kwa nini mnajifanya na nyie ni Wasukuma ,mnaogopa nini?
4.Kwa nini mnajitenga ,mnawafanyia ubaguzi wenyeji mliowakuta?
Nikipata madaraka Watusi wote nachuna nyayo za miguu,mtatembea kwenye lami jua kali kwa miguu.Kituo cha kupumzikia kitakuwa Gisenyi.Wacongo,Warundi,Wamalawi mtabaki kuweni na amani.
Mimi ningewarudisha nyumbani kwao. Suala sijui nchi yao ndogo hayo ni matatizo yao watajua wenyewe.
 
Sasa kwao ardhi ndogo haiwatoshi itawezekana vipi wapewe wageni?
Sisi ardhi kuubwa na hatuitumii vizuri.
Mapori huenda yapo zaidi ya 40%.
Watusi wanapewa ardhi huko vijijin wanaishi nenden Rwanda kama mtapewa ardhi
 
Halafu cha ajabu huko Rwanda penyewe hawataki kwenda kuishi... wanaendesha maisha yao wakitumia kila kitu cha hapa at the same time wakiiponda TZ na kuifagilia Rwanda, haya sasa waambie warudi kwao Rwanda wanakuwa wanyonge ghafla, wajinga sana hawa na huwa siwapendi kweliii,
Hatutofautiani!

Kutoka na sababu za usalama wa nchi, hii jamii siipendi hata kidogo.

Ningekuwa na mamlaka wote wangerudi nyumbani kwao hivyo hivyo!

Kama nchi yao ndogo watajijua wenyewe huko huko na matatizo yao!
 
Back
Top Bottom