Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyakyusa are not Lugulu.Unaweza kuwa sahihi watutsi wako nchi nne, Uganda, Tanzania, Congo, Burundi na Rwanda yenyewe. Lakini Utambulisho wa kitutsi uko Rwanda ndio maana inasemwa ni wanyarwanda kama ambavyo wewe ni mnyakyusa ingawa kiasili wewe ni Mlugulu wa Kingorowila Morogoro
Una hoja ila hatuwezi kuwapuuzia wahamiaji haramu kwa kufuata nadharia yako
Fuatilia mkuu utaelewa. We pigia mmoja wa wazee atakupa hili jubuNyakyusa are not Lugulu.
Mkileta chokochoko mtafutwa tu,hatutaki magaidi TzMimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama,baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.
Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza,kosa kubwa..
Wiki mbili zilizopita kulukuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu,wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia pwani ila niko huku kikazi ujombani.
Kuna mwenzangu alianbiwa atamke nne akasema ine.boksi akatamka bokisi,alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.
Kijijini kwamama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenyemiaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.
Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.
Kuanzia kahama,nasumbwe,runzewe,ushirombo,ngara,karagwe,,biharamulo,watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu.tunaishi nao na tumezaa nao,sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Kama ni m23 ya kuondoa kinye💩 cha ccm tutawaunga mkono ...hakuna mtanzania mpumbavu atakaye pigana vita kuilinda ccm ya ukoo wa kikwete na genge la raia feki kina samia bushiri.... never......Muwe makini sasa mkianzisha yale mavalangati yenu ya M23, hatuta wavumilia.
Kuna wahima,yaani Abahima n8 jamii zote zinazofanana na watutsi,huko uganda wanaitwa abanyakole ,kiuhalusia watutsi ni waburundi na rwandaUnaweza kuwa sahihi watutsi wako nchi nne, Uganda, Tanzania, Congo, Burundi na Rwanda yenyewe. Lakini Utambulisho wa kitutsi uko Rwanda ndio maana inasemwa ni wanyarwanda kama ambavyo wewe ni mnyakyusa ingawa kiasili wewe ni Mlugulu wa Kingorowila Morogoro
Fuatilia mkuu utaelewa. We pigia mmoja wa wazee atakupa hili jubu
Hili tatizo linaletwa na ccm ,na litakuja kutusumbua sana mbeleni hukoWanajipenyeza kwenye siasa na serikalini taratibuuu kwa mahesabu makali
Yeah, Goodluck with that. ✌🏿Kuna mtu ana masters ya anthropology and archiology thesis yake ya PHD inahusu hao jamaa naisubiri kwa hamu
Africa ni moja mioaka kaweka mkoloni,Nakuuliza;
1.Hayo mahekari ya land mnayojimilikisha kwa maelfu nani aliwapa?
2.Ujambazi wa ng'ombe mmeacha ?
3.Kwa nini mnajifanya na nyie ni Wasukuma ,mnaogopa nini?
4.Kwa nini mnajitenga ,mnawafanyia ubaguzi wenyeji mliowakuta?
Nikipata madaraka Watusi wote nachuna nyayo za miguu,mtatembea kwenye lami jua kali kwa miguu.Kituo cha kupumzikia kitakuwa Gisenyi.Wacongo,Warundi,Wamalawi mtabaki kuweni na amani.
Kile kipigo mlichopewa na jeshi la Magereza pale Kijiji cha Nuja-Kahama ,unakikumbuka .Na ile ardhi kwa nini ilichukuliwa na jeshi la Magereza kama Afrika ni moja.Africa ni moja mioaka kaweka mkoloni,
Mipaka ifutwe,mpaka mwaka 1884 burundi na rwanda zilikuwa nchi moja na tanganyika
Mada hii umeileta mwenyewe kuwa sio MtanzaniaNimezaliwa muhimbili baba yangu mkwere
Ukifika Rwanda unapelekwa msituni ukasaidie M23!Bila hivyo hamchelewi kunirudisha rwanda wakati sipajui,lazima niweke msisitizo
Usiwe na hofu na hilo, tunaelekea kwenye East Africa Federation. 🤔Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama,baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.
Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza,kosa kubwa..
Wiki mbili zilizopita kulukuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu,wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia pwani ila niko huku kikazi ujombani.
Kuna mwenzangu alianbiwa atamke nne akasema ine.boksi akatamka bokisi,alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.
Kijijini kwamama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenyemiaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.
Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.
Kuanzia kahama,nasumbwe,runzewe,ushirombo,ngara,karagwe,,biharamulo,watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu.tunaishi nao na tumezaa nao,sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama,baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.

Watakuwa wanazungumza lugha ipi ili watambulike kama kabila moja?Mimi nina asili ya kitutsi kwa upande wa mama,baba yangu ni mzaliwa wa Msoga.
Nguvu ya nama nikapewa jina la ujombani la kwanza,kosa kubwa..
Wiki mbili zilizopita kulukuwa na zoezi la kuandikisha NiDA wilayani kwetu,wajihi wangu mrefu na hili jina nusura viniponze sema kiswahili changu ni cha mwambao maana nimekulia pwani ila niko huku kikazi ujombani.
Kuna mwenzangu alianbiwa atamke nne akasema ine.boksi akatamka bokisi,alipigwa pingu pale pale mpaka walipojiridhisha kuwa amezaliwa Ngara.
Kijijini kwamama asilimia 50 ni wahamiaji wa kitutsi wenyemiaka mingi sana sema wanajiita kabila la hapo wilaya walipo.
Sina lengo la kuwapinga Mamlaka ya Vitambulisho maana lazima wajiridhishe na uraia wa wanaovihitaji ila mlijua kutuchangamsha.
Kuanzia kahama,nasumbwe,runzewe,ushirombo,ngara,karagwe,,biharamulo,watutsi ni wengi sana ni kama tuko Rwanda tu.tunaishi nao na tumezaa nao,sijajua miaka 20 ijayo itakuwaje wakiamua watambulike kama kabila rasmi la Tanzania?
Urefu wa jina au? Maana Immigration urefu wa jina na ugumu wa kulitamka ndio kigezo. 😆Tutaanzia kwenye jina jina na urefu.