Watanzania wenye uwezo kuwa CEO's wa multilateral companies tunakwama wapi? Kama Helios Towers Watanzania wameweza huko, kwingine tunakwama wapi?

Paskal, hawa watu wako wengi na wameweza. Hawa wa Helio Tower si tu kwmba wanaendesha bali pia walianzisha. Kongole kwao. Shida yetu kwa ujumla ni kukutaa kujifunza hata kwa vitu ambayo tunajua siyo sisi tuliovianzisha.
Miaka 1990s kwa mfano hatukuwa na ujuzi na weledi katika uchorongaji kwenye madini mpaka zilipokuka kampuni za uchorongaji kutoka nje. Leo zipo kampuni za watanzania za uchorogaji, zilizoajiri watanzania na zinafanya kazi maeneo mengi hapa Afrika.
Kweye sekta ya madini pia tunayo kampuni ya huduma za chakula ya AKO inahudumia migodi- ni ya mtanzania, imeajiri watanzania na inashindana na makampuni ya nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…