Watanzania wenzangu hii ishu ilipangwa ikapangika

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Kwanza nasikitika sana kwa yaliyotokea

Pili nataka kusema inchi yangu au yetu haiko salama. inaonekana Abduli na genge lake walipanga kuja kuwauwa wandamanaji kwa mgongo wa maandamano ili kulipa ya mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa Mkapa

Uwe Chadema au CCM hatuko salama tena maana uongozi wote hawako kwa ajili ya Tanganyika, tustuke jamani
 
Yaani inasikitisha sana,hivi Magufuli angekuwepo angeruhusu huu ujinga Sijui kikweta huko aliko naona amefurahi
 
Hii kitu nimefikiria sana mzazi kuanzia juzi napata uvivu wa kuandika hapa ilikua nije na kichwa cha habari Je ni Kisasi cha mzee Mkapa na yaliyokea Zanzibar?nashukuru umeniwahi.

Na ukiangalia mpaka leo mtu anayechukiwa kuliko watanzania wote kuliko Zenji ni Mzee Mkapa(RiP)

Who is Abdul ana nguvu gani ndani ya Serikali je Mtoto wa Trump au Biden anaweza kushurutisha ikulu nzima ya marekani na vyombo vya doll come on watanganyika hakika tutaisha next nchi itakua kama Haiti kila mtaa na genge lake watu wataamua kujilinda na huyu Abdul na genge lake.
 
Hilo pia lipo na mengine na mengine… Lakini katika yote Jeshi la polisi linapaswa kuwajibika.
 
Na bado wataua wengi..huenda kati ya wale shooters wapo ambao walipoteza wazazi kipindi kile na huenda wanatumika very strategically kulipa kisasi ..Machizi yetu Tanganyika kina Wassira hayaelewi kazi kusinzia ..ngoja watukomeshe tu
 
Kwanza nasikitika sana kwa yaliyotokea

Pili nataka kusema inchi yangu au yetu haiko salama. inaonekana Abduli na genge lake walipanga kuja kuwauwa wandamanaji kwa mgongo wa maandamano ili kulipa ya mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa Mkapa

Uwe Chadema au CCM hatuko salama tena maana uongozi wote hawako kwa ajili ya Tanganyika, tustuke jamani

Hii kitu nimefikiria sana mzazi kuanzia juzi napata uvivu wa kuandika hapa ilikua nije na kichwa cha habari Je ni Kisasi cha mzee Mkapa na yaliyokea Zanzibar?nashukuru umeniwahi.

Na ukiangalia mpaka leo mtu anayechukiwa kuliko watanzania wote kuliko Zenji ni Mzee Mkapa(RiP)

Who is Abdul ana nguvu gani ndani ya Serikali je Mtoto wa Trump au Biden anaweza kushurutisha ikulu nzima ya marekani na vyombo vya doll come on watanganyika hakika tutaisha next nchi itakua kama Haiti kila mtaa na genge lake watu wataamua kujilinda na huyu Abdul na genge lake.

Na bado wataua wengi..huenda kati ya wale shooters wapo ambao walipoteza wazazi kipindi kile na huenda wanatumika very strategically kulipa kisasi ..Machizi yetu Tanganyika kina Wassira hayaelewi kazi kusinzia ..ngoja watukomeshe tu
Hili na mimi nimeliwaza. Inawezekana hilo halikuwa lengo la mwanzo lakini katika kutafuta watu wa kuifanya hii kazi ya kuzima maandamano, wakaenda kwa watu wenye hamu ya muda mrefu kulipa kisasi dhidi ya Watanganyika. Hawa hata bure wangeifanya hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom