Kwanza nasikitika sana kwa yaliyotokea
Pili nataka kusema inchi yangu au yetu haiko salama. inaonekana Abduli na genge lake walipanga kuja kuwauwa wandamanaji kwa mgongo wa maandamano ili kulipa ya mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa Mkapa
Uwe Chadema au CCM hatuko salama tena maana uongozi wote hawako kwa ajili ya Tanganyika, tustuke jamani
Hii kitu nimefikiria sana mzazi kuanzia juzi napata uvivu wa kuandika hapa ilikua nije na kichwa cha habari Je ni Kisasi cha mzee Mkapa na yaliyokea Zanzibar?nashukuru umeniwahi.
Na ukiangalia mpaka leo mtu anayechukiwa kuliko watanzania wote kuliko Zenji ni Mzee Mkapa(RiP)
Who is Abdul ana nguvu gani ndani ya Serikali je Mtoto wa Trump au Biden anaweza kushurutisha ikulu nzima ya marekani na vyombo vya doll come on watanganyika hakika tutaisha next nchi itakua kama Haiti kila mtaa na genge lake watu wataamua kujilinda na huyu Abdul na genge lake.
Hili na mimi nimeliwaza. Inawezekana hilo halikuwa lengo la mwanzo lakini katika kutafuta watu wa kuifanya hii kazi ya kuzima maandamano, wakaenda kwa watu wenye hamu ya muda mrefu kulipa kisasi dhidi ya Watanganyika. Hawa hata bure wangeifanya hiyo kazi.Na bado wataua wengi..huenda kati ya wale shooters wapo ambao walipoteza wazazi kipindi kile na huenda wanatumika very strategically kulipa kisasi ..Machizi yetu Tanganyika kina Wassira hayaelewi kazi kusinzia ..ngoja watukomeshe tu