Watanzania wenzangu mnafanya nini Mozambique?

shukrani sana kaka, sasa harware si mpaka kupata frame mkuu? nilitaka vitu vya kuweza kubeba wakati nafanya research ili kujaribu kurejesha gharama za nauli na malazi. Frame za biashara huko zinatembea bei gani?
cc: kadafi
idea nyingine labda ukienda uchukue vitenge vya kule uje kuviuza tanzania...vitenge vyao ni vizito ukilinganisha na vya hapa bongo pia bei yake iko juu kiasi
 
Fremu yategemea na sehemu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Biashara yoyote Pemba inafanyika kama duka baa hata hotel za kulala mgahawa na nk ni mji mzuri kwani wageni ni wengi jili ya gas,Husu permit haisumbui sana kwani ukifika una three month unapata ila wapewa mwezi mwezi ukiisha waongeza kama miezi 3 ikiisha ujapata kibali yakubidi utoke nje ya nchi na kurudi unapewa tena three month so haisumbui nafikiri mengine yapo poa .Pia waweza fanya biashara ya kuleta sigara za Tanzania na vitu vingi katika miji ya Pemba na kwa sababu hela yao iko juu utapata faida ukibadili tena ziwe shilling

mkuu Pemba gani unayozungumzia??
 
Mkuu naomba nifahamishe hiyo biashara ya sigara huwa vipi pale pemba
 
Sigara za kitanzania zinapendwa na soko uzuri upate mtu wa pale na njia rahisi kupita border lilotulia ili uweze pata faida kiongozi na pemba si mbaya ukipitia mtwara

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
namaanisha niwatu wanaopendasana fashion kama watz
 
Kwa nguo naona miji mikubwa kama Maputo uko watu wanavaa sana ila kwa Pemba si sana na inaweza kuwa 50 50 ila nayo inafanyika biashara kama kawaida .Kumbuka Maputo ni mbali hivyo nauli ni kubwa mfano Pemba to Maputo ni kama siku mbili nauli dola 100

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa nguo naona miji mikubwa kama Maputo uko watu wanavaa sana ila kwa Pemba si sana na inaweza kuwa 50 50 ila nayo inafanyika biashara kama kawaida .Kumbuka Maputo ni mbali hivyo nauli ni kubwa mfano Pemba to Maputo ni kama siku mbili nauli dola 100

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Huu wa siku nyingi ila nitafanyia kazi maoni ya humu yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah fursa ni kila mahala wakuuu
Kila la her kwa wasaka tonge
 
Back
Top Bottom