HOJA Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli. Msikubali kupotezwa maboya tena

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
12,134
Reaction score
27,519
Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.

Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo mengine. Huo ni mtego ambao wananchi wanapaswa kuuangalia kwa makini.

Msikubali kupotezwa maboya. Meli inapokuwa safarini, maboya huwekwa kuiongoza njia; yakihamishwa, meli inaweza kupotea mwelekeo. Vivyo hivyo katika siasa, kuna nyakati ambapo hoja zinazowagusa wananchi moja kwa moja huachwa na watu kuanza kujadili mambo ya pembeni.

Endeleeni kushikilia ajenda yenu, malengo yenu na hoja zenu. Dereva anayefuata ramani hafiki anapokusudia ikiwa kila anayeitwa njiani atamshawishi abadili njia.

Kumbukeni:

Sii kila anayejitokeza mbele ya safari ni kiongozi wa njia; wengine wanaweza kuwa ni kikwazo, wengine ni wapotoshaji, na wengine ni watu wanaovuruga umakini wa wasafiri. Hivyo, pima kila taarifa, chunguza kila hoja, na usikubali kuhamishwa kutoka kwenye lengo kuu.

Shikamaneni, fuatilieni hoja kuu, na msitolewe kwenye reli. Wanaotaka kuwaondoa kwenye njia mara nyingi hawashambulii lengo moja kwa moja; hujaribu kwanza kuwavuruga
Mifano.

1. Mwaka 2017 Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Alimtembelea Lisu hospital Nchini Ubelgiji kwa Maelekezo maalum Mlifurahi sana.

Badala ya kuhoji Waliopanga jaribio lile ni akina nani.
(Tunamtaka samia).

2. Nchimbi anakemea Utekaji Rushwa Mauwaji.
Mnashangilia Kuchezeshwa shere nyingine.
(Tunamtaka nchimbi).

3. Jana Mbunge Mmoja Zanzibar Kumwita Makamu wa Rais ni Yuda mmeshangilia sana na Kusema mpo na Nchimbi

4. Huyo mbunge kwa Kujiamini kabisa aliwahi kumshambulia Mwinyi huko nyuma . (Ni Kibaraka)

NIMEMALIZA.
NAOMBA KUWASISHA
 
4. Huyo mbuge kwa Kujiamini kabisa aliwahi kumshambulia Mwinyi huko nyuma . (Ni Kibaraka)

NIMEMALIZA.
NAOMBA KUWASISHA
Dunia Kuna mambo,japokuwa uumkimya,watakufuata na maneno.,..nginde hao baba!
 
Sawa ila hatuwezi kukaa kimya haya yakitendeka ni kweli Nchimbi ni CCM walewale ila wacha tuone namna ya kuwagonganisha vichwa na meno pengine kuna jambo flani litatokea. Usiniulize jambo gani.
 
Nawezaje kujitenga na Nchimbi anayekemea utekaji na mauaji?

Muache hii tabia yenu ya uoga kwa kivuli cha "msitolewe kwenye mstari."

Watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni matukio ya kinyama yanayotakiwa kupingwa na kila mwenye akili timamu, mcha Mungu, bila kujali itikadi yake.

Haki yetu ya kuishi inapoingiliwa na kutaka kuporwa, lazima sote kwa pamoja tumpinge mporaji, tukifanikiwa kwenye hilo ndio turejee kwenye itikadi za vyama vyetu.

Lakini kuanza kutengana mapema hii sababu ya itikadi zetu, huku haki yetu ya kuishi ikiwa bado ipo rehani, huo ni ujinga unaompa credit mporaji wa uhai wetu.
 
Anawahadaha kama Samia kumtembelea Lissu.

Ukiwa CCM your always CCM.
FIKICHA AKILI.
 
Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.

Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo mengine. Huo ni mtego ambao wananchi wanapaswa kuuangalia kwa makini.

Msikubali kupotezwa maboya. Meli inapokuwa safarini, maboya huwekwa kuiongoza njia; yakihamishwa, meli inaweza kupotea mwelekeo. Vivyo hivyo katika siasa, kuna nyakati ambapo hoja zinazowagusa wananchi moja kwa moja huachwa na watu kuanza kujadili mambo ya pembeni.

Endeleeni kushikilia ajenda yenu, malengo yenu na hoja zenu. Dereva anayefuata ramani hafiki anapokusudia ikiwa kila anayeitwa njiani atamshawishi abadili njia.

Kumbukeni:

Sii kila anayejitokeza mbele ya safari ni kiongozi wa njia; wengine wanaweza kuwa ni kikwazo, wengine ni wapotoshaji, na wengine ni watu wanaovuruga umakini wa wasafiri. Hivyo, pima kila taarifa, chunguza kila hoja, na usikubali kuhamishwa kutoka kwenye lengo kuu.

Shikamaneni, fuatilieni hoja kuu, na msitolewe kwenye reli. Wanaotaka kuwaondoa kwenye njia mara nyingi hawashambulii lengo moja kwa moja; hujaribu kwanza kuwavuruga
Mifano.

1. Mwaka 2017 Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Alimtembelea Lisu hospital Nchini Ubelgiji kwa Maelekezo maalum Mlifurahi sana.

Badala ya kuhoji Waliopanga jaribio lile ni akina nani.
(Tunamtaka samia).

2. Nchimbi anakemea Utekaji Rushwa Mauwaji.
Mnashangilia Kuchezeshwa shere nyingine.
(Tunamtaka nchimbi).

3. Jana Mbunge Mmoja Zanzibar Kumwita Makamu wa Rais ni Yuda mmeshangilia sana na Kusema mpo na Nchimbi

4. Huyo mbunge kwa Kujiamini kabisa aliwahi kumshambulia Mwinyi huko nyuma . (Ni Kibaraka)

NIMEMALIZA.
NAOMBA KUWASISHA
Yuda

Yuda

Yuda...

Hii ni michezo!
 
Nawezaje kujitenga na Nchimbi anayekemea utekaji na mauaji?

Muache hii tabia yenu ya uoga kwa kivuli cha "msitolewe kwenye mstari."

Watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni matukio ya kinyama yanayotakiwa kupingwa na kila mwenye akili timamu, mcha Mungu, bila kujali itikadi yake.

Haki yetu ya kuishi inapoingiliwa na kutaka kuporwa, lazima sote kwa pamoja tumpinge mporaji, tukifanikiwa kwenye hilo ndio turejee kwenye itikadi za vyama vyetu.

Lakini kuanza kutengana mapema hii sababu ya itikadi zetu, huku haki yetu ya kuishi ikiwa bado ipo rehani, huo ni ujinga unaompa credit mporaji wa uhai wetu.
Hujamwelewa mleta mada, soma tena ukiwa umetulia.

Sometimes katika maisha, usichulie kila neno au kila unachokiona ndio kilivyo au ndio lilivyo. Soma tena andiko utaelewa.
 
Sihadaiki na hadaa za CCM kama huo ndio mpango wao, bottom line mimi nasimama na yeyote anayepigania haki za msingi kama ya kuishi bila kujali itikadi yake.

Nisome mara ngapi...
 
Tufanyaje mkuu, tunatakiwa tusimame njia gani?
 
1780494591187.png
 
Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.

Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo mengine. Huo ni mtego ambao wananchi wanapaswa kuuangalia kwa makini.

Msikubali kupotezwa maboya. Meli inapokuwa safarini, maboya huwekwa kuiongoza njia; yakihamishwa, meli inaweza kupotea mwelekeo. Vivyo hivyo katika siasa, kuna nyakati ambapo hoja zinazowagusa wananchi moja kwa moja huachwa na watu kuanza kujadili mambo ya pembeni.

Endeleeni kushikilia ajenda yenu, malengo yenu na hoja zenu. Dereva anayefuata ramani hafiki anapokusudia ikiwa kila anayeitwa njiani atamshawishi abadili njia.

Kumbukeni:

Sii kila anayejitokeza mbele ya safari ni kiongozi wa njia; wengine wanaweza kuwa ni kikwazo, wengine ni wapotoshaji, na wengine ni watu wanaovuruga umakini wa wasafiri. Hivyo, pima kila taarifa, chunguza kila hoja, na usikubali kuhamishwa kutoka kwenye lengo kuu.

Shikamaneni, fuatilieni hoja kuu, na msitolewe kwenye reli. Wanaotaka kuwaondoa kwenye njia mara nyingi hawashambulii lengo moja kwa moja; hujaribu kwanza kuwavuruga
Mifano.

1. Mwaka 2017 Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Alimtembelea Lisu hospital Nchini Ubelgiji kwa Maelekezo maalum Mlifurahi sana.

Badala ya kuhoji Waliopanga jaribio lile ni akina nani.
(Tunamtaka samia).

2. Nchimbi anakemea Utekaji Rushwa Mauwaji.
Mnashangilia Kuchezeshwa shere nyingine.
(Tunamtaka nchimbi).

3. Jana Mbunge Mmoja Zanzibar Kumwita Makamu wa Rais ni Yuda mmeshangilia sana na Kusema mpo na Nchimbi

4. Huyo mbunge kwa Kujiamini kabisa aliwahi kumshambulia Mwinyi huko nyuma . (Ni Kibaraka)

NIMEMALIZA.
NAOMBA KUWASISHA
Hawawezi kuacha kwani Agenda zao huwa zinaanzishwa na CCM. Wao ni kudemka tu. Sasa hv wako busy na safari ya Russia wakiongozwa na Mange
 
Back
Top Bottom