CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Dunia Kuna mambo,japokuwa uumkimya,watakufuata na maneno.,..nginde hao baba!Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.
Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo mengine. Huo ni mtego ambao wananchi wanapaswa kuuangalia kwa makini.
Msikubali kupotezwa maboya. Meli inapokuwa safarini, maboya huwekwa kuiongoza njia; yakihamishwa, meli inaweza kupotea mwelekeo. Vivyo hivyo katika siasa, kuna nyakati ambapo hoja zinazowagusa wananchi moja kwa moja huachwa na watu kuanza kujadili mambo ya pembeni.
Endeleeni kushikilia ajenda yenu, malengo yenu na hoja zenu. Dereva anayefuata ramani hafiki anapokusudia ikiwa kila anayeitwa njiani atamshawishi abadili njia.
Kumbukeni:
Sii kila anayejitokeza mbele ya safari ni kiongozi wa njia; wengine wanaweza kuwa ni kikwazo, wengine ni wapotoshaji, na wengine ni watu wanaovuruga umakini wa wasafiri. Hivyo, pima kila taarifa, chunguza kila hoja, na usikubali kuhamishwa kutoka kwenye lengo kuu.
Shikamaneni, fuatilieni hoja kuu, na msitolewe kwenye reli. Wanaotaka kuwaondoa kwenye njia mara nyingi hawashambulii lengo moja kwa moja; hujaribu kwanza kuwavuruga
Mifano.
1. Mwaka 2017 Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Alimtembelea Lisu hospital Nchini Ubelgiji kwa Maelekezo maalum Mlifurahi sana.
Badala ya kuhoji Waliopanga jaribio lile ni akina nani.
(Tunamtaka samia).
2. Nchimbi anakemea Utekaji Rushwa Mauwaji.
Mnashangilia Kuchezeshwa shere nyingine.
(Tunamtaka nchimbi).
3. Jana Mbunge Mmoja Zanzibar Kumwita Makamu wa Rais ni Yuda mmeshangilia sana na Kusema mpo na Nchimbi
4. Huyo mbuge kwa Kujiamini kabisa aliwahi kumshambulia Mwinyi huko nyuma . (Ni Kibaraka)
NIMEMALIZA.
NAOMBA KUWASISHA
Sawa ila hatuwezi kukaa kimya haya yakitendeka ni kweli Nchimbi ni CCM walewale ila wacha tuone namna ya kuwagonganisha vichwa na meno pengine kuna jambo flani litatokea. Usiniulize jambo gani.Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.
Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo mengine. Huo ni mtego ambao wananchi wanapaswa kuuangalia kwa makini.
Msikubali kupotezwa maboya. Meli inapokuwa safarini, maboya huwekwa kuiongoza njia; yakihamishwa, meli inaweza kupotea mwelekeo. Vivyo hivyo katika siasa, kuna nyakati ambapo hoja zinazowagusa wananchi moja kwa moja huachwa na watu kuanza kujadili mambo ya pembeni.
Endeleeni kushikilia ajenda yenu, malengo yenu na hoja zenu. Dereva anayefuata ramani hafiki anapokusudia ikiwa kila anayeitwa njiani atamshawishi abadili njia.
Kumbukeni:
Sii kila anayejitokeza mbele ya safari ni kiongozi wa njia; wengine wanaweza kuwa ni kikwazo, wengine ni wapotoshaji, na wengine ni watu wanaovuruga umakini wa wasafiri. Hivyo, pima kila taarifa, chunguza kila hoja, na usikubali kuhamishwa kutoka kwenye lengo kuu.
Shikamaneni, fuatilieni hoja kuu, na msitolewe kwenye reli. Wanaotaka kuwaondoa kwenye njia mara nyingi hawashambulii lengo moja kwa moja; hujaribu kwanza kuwavuruga
Mifano.
1. Mwaka 2017 Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Alimtembelea Lisu hospital Nchini Ubelgiji kwa Maelekezo maalum Mlifurahi sana.
Badala ya kuhoji Waliopanga jaribio lile ni akina nani.
(Tunamtaka samia).
2. Nchimbi anakemea Utekaji Rushwa Mauwaji.
Mnashangilia Kuchezeshwa shere nyingine.
(Tunamtaka nchimbi).
3. Jana Mbunge Mmoja Zanzibar Kumwita Makamu wa Rais ni Yuda mmeshangilia sana na Kusema mpo na Nchimbi
4. Huyo mbunge kwa Kujiamini kabisa aliwahi kumshambulia Mwinyi huko nyuma . (Ni Kibaraka)
NIMEMALIZA.
NAOMBA KUWASISHA
Nawezaje kujitenga na Nchimbi anayekemea utekaji na mauaji?
Muache hii tabia yenu ya uoga kwa kivuli cha "msitolewe kwenye mstari."
Watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni matukio ya kinyama yanayotakiwa kupingwa na kila mwenye akili timamu, mcha Mungu, bila kujali itikadi yake.
Haki yetu ya kuishi inapoingiliwa na kutaka kuporwa, lazima sote kwa pamoja tumpinge mporaji, tukifanikiwa kwenye hilo ndio turejee kwenye itikadi za vyama vyetu.
Lakini kuanza kutengana mapema hii sababu ya itikadi zetu, huku haki yetu ya kuishi ikiwa bado ipo rehani, huo ni ujinga unaompa credit mporaji wa uhai wetu.
YudaWatanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.

Hayupo CCM wa kunihadaa mimi, najua nachosimamia siku zote.Anawahadaha kama Samia kumtembelea Lissu.
Ukiwa CCM your always CCM.
FIKICHA AKILI.
Hujamwelewa mleta mada, soma tena ukiwa umetulia.Nawezaje kujitenga na Nchimbi anayekemea utekaji na mauaji?
Muache hii tabia yenu ya uoga kwa kivuli cha "msitolewe kwenye mstari."
Watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa ni matukio ya kinyama yanayotakiwa kupingwa na kila mwenye akili timamu, mcha Mungu, bila kujali itikadi yake.
Haki yetu ya kuishi inapoingiliwa na kutaka kuporwa, lazima sote kwa pamoja tumpinge mporaji, tukifanikiwa kwenye hilo ndio turejee kwenye itikadi za vyama vyetu.
Lakini kuanza kutengana mapema hii sababu ya itikadi zetu, huku haki yetu ya kuishi ikiwa bado ipo rehani, huo ni ujinga unaompa credit mporaji wa uhai wetu.
Sihadaiki na hadaa za CCM kama huo ndio mpango wao, bottom line mimi nasimama na yeyote anayepigania haki za msingi kama ya kuishi bila kujali itikadi yake.Hujamwelewa mleta mada, soma tena ukiwa umetulia.
Sometimes katika maisha, usichulie kila neno au kila unachokiona ndio kilivyo au ndio lilivyo. Soma tena andiko utaelewa.
Je anaandaliwa kugombea uraisi wa 2030.. ili waendelee kushika atamuTufanyaje mkuu, tunatakiwa tusimame njia gani?
Hawawezi kuacha kwani Agenda zao huwa zinaanzishwa na CCM. Wao ni kudemka tu. Sasa hv wako busy na safari ya Russia wakiongozwa na MangeWatanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.