Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake.
Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu wanaoinyonya na kuiibia nchi yetu kama Wahindi/Waarabu/Wairani au Wachina, unaweza kusema uchumi wetu wote wameushika wao lkn husikii watu wakitia neno kwa sababu mtu mweusi amelelewa kujichukia na kuthamini wengine, hivi Mwigulu anaweza kupitisha Kodi bila idhini ya raisi wa nchi?
Juzi kati tumeona Rostamu Aziz akiwa na raisi wa nchi USA wakisaini Mikataba binafsi hakuna aliyehoji kama ni Ufisadi au vipi, mnajua kilichosainiwa? Mnakwenda kumshambulia mtu eti kaagiza sijui Yutong, really? Mnajua Waarabu na Wahindi wanatuibia kiasi gani?
Acheni chuki binafsi, kama ni chuki stahiki pelekeni kwa Mafisadi wenyewe na siyo vidagaa!