Watanzania weusi na Chuki binafsi dhidi ya Watu weusi

Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake.

Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu wanaoinyonya na kuiibia nchi yetu kama Wahindi/Waarabu/Wairani au Wachina, unaweza kusema uchumi wetu wote wameushika wao lkn husikii watu wakitia neno kwa sababu mtu mweusi amelelewa kujichukia na kuthamini wengine, hivi Mwigulu anaweza kupitisha Kodi bila idhini ya raisi wa nchi?

Juzi kati tumeona Rostamu Aziz akiwa na raisi wa nchi USA wakisaini Mikataba binafsi hakuna aliyehoji kama ni Ufisadi au vipi, mnajua kilichosainiwa? Mnakwenda kumshambulia mtu eti kaagiza sijui Yutong, really? Mnajua Waarabu na Wahindi wanatuibia kiasi gani?

Acheni chuki binafsi, kama ni chuki stahiki pelekeni kwa Mafisadi wenyewe na siyo vidagaa!

View attachment 2338055
Hakuna Mhindi Wala mwarabu anaeweza kuiba Bila kusaidiwa Ni mijitu fisadi kama Mwigulu Nchemba
 
Ni haki kumshambulia Mwigulu kama ilivyo haki kumshambulia fisadi yoyote bila kujali jinsia yake, rangi yake, dini yake na hata uraia wake. Weusi au ukristo wa Mwigulu si kinga kama ana 'mauozo' anayoyafanya.
Ashambuliwe tu nawe pia unaweza kujikita katika kushambulia mafisadi wengine ili tuwe na orodha ya mafisadi wengi kadri iwezekanavyo.

Shida ni kwamba hao unaowatetea wao hawakuoni hivyo, kwanza wanakuona second class human being hivyo ni on sided love kwa uplande wako, na wanakucheka huku ukiwatetea.

Unamshambulia Waziri na wakati anatimiza wajibu wake? Kwa nini raisi hamuondoi kama unafikiri Mwigulu is acting alone ?
 
Na kwa nini raisi wa nchi hamuondoi Waziri kama ni kweli raisi wenu anawajali kama mnavyojilazimisha kuamini?
Wewe unaonaj huyo mama ana maamuzi???

Anachojua Ni kuwasifia wazee wa MITALA kina Aweso na Mchengerwa na kuwapa ulaji kundi la Kikwete.

Labda anachoweza Ni kukuchamba hadharani kama kina Ndugai ili ujiuzulu mwenyewe.
 
Huyu PHD economics mbona mnamuonea hurumu wakati amejinasibu ni yeye mwenyewe anayemshauri mama kiasi cha kujipigia debe hadi kutukejeli "tuhamie Burundi" . Kama kaingia kwenye hii siasa kujipendekeza tu bila kutumia PHD yake! AONDOKE. Hata mama alivyo ni "tabula rasa" wa mambo mengi na hasa uchumi.
Kweli ana PHD? Hebu nitumie thesis yake!
 
Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake.

Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu wanaoinyonya na kuiibia nchi yetu kama Wahindi/Waarabu/Wairani au Wachina, unaweza kusema uchumi wetu wote wameushika wao lkn husikii watu wakitia neno kwa sababu mtu mweusi amelelewa kujichukia na kuthamini wengine, hivi Mwigulu anaweza kupitisha Kodi bila idhini ya raisi wa nchi?

Juzi kati tumeona Rostamu Aziz akiwa na raisi wa nchi USA wakisaini Mikataba binafsi hakuna aliyehoji kama ni Ufisadi au vipi, mnajua kilichosainiwa? Mnakwenda kumshambulia mtu eti kaagiza sijui Yutong, really? Mnajua Waarabu na Wahindi wanatuibia kiasi gani?

Acheni chuki binafsi, kama ni chuki stahiki pelekeni kwa Mafisadi wenyewe na siyo vidagaa!

View attachment 2338055
usilete udini uhalisia CCM imeshindwa kutuongoza pamoja na Bunge lao lisilo na mvuto
 
Weusi au ukristo wa Mwigulu si kinga kama ana 'mauozo' anayoyafanya.
Ashambuliwe tu
thinkstupid.png
 
Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake.

Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu wanaoinyonya na kuiibia nchi yetu kama Wahindi/Waarabu/Wairani au Wachina, unaweza kusema uchumi wetu wote wameushika wao lkn husikii watu wakitia neno kwa sababu mtu mweusi amelelewa kujichukia na kuthamini wengine, hivi Mwigulu anaweza kupitisha Kodi bila idhini ya raisi wa nchi?

Juzi kati tumeona Rostamu Aziz akiwa na raisi wa nchi USA wakisaini Mikataba binafsi hakuna aliyehoji kama ni Ufisadi au vipi, mnajua kilichosainiwa? Mnakwenda kumshambulia mtu eti kaagiza sijui Yutong, really? Mnajua Waarabu na Wahindi wanatuibia kiasi gani?

Acheni chuki binafsi, kama ni chuki stahiki pelekeni kwa Mafisadi wenyewe na siyo vidagaa!

View attachment 2338055
We huna akili na ni mdini kupita kiasi, kwaiyo akiwa mkristo au muislamu inahusiana Nini na uongozi?? Kumbe unamtukana Samia sababu ya dini yake
 
Mwenzake alinunua hizo alipostaafu nazo zikastaafu
 
Hao watu wa Asia sio wanainyonya afrika bali mifumo yao ya elimu ndio inawapa macho ya kuziona fursa tele nchini.
 
Shida ni kwamba hao unaowatetea wao hawakuoni hivyo, kwanza wanakuona second class human being hivyo ni on sided love kwa uplande wako, na wanakucheka huku ukiwatetea.

Unamshambulia Waziri na wakati anatimiza wajibu wake? Kwa nini raisi hamuondoi kama unafikiri Mwigulu is acting alone ?
Wanalamba wote asali.
 
Wale biashara zao zinaonekana na zinaeleweka huyo boss wako anafanya biashara gani
 
Jambo rahisi kama hili mtu aliyeweza kujiunga JF ameshindwa kulielewa !!!
Mwigulu amefisadi nini? Mwigulu analaumiwa kupendekeza tozo. Mwigulu ni waziri. Ni public leader. He is holding a public office. Hao uliowataja hawashiki ofisi yoyote ya umma.
 
Kwa nini ampigie simu usiku??
Raisi aliwahi kusema alipigiwa simu usiku na Mwigulu na kuambiwa kuwa wakope ili walipe madeni ya Mwendazake.

Hili linatuonyesha nini na kwa nini tunamlaumu Mwigu?.
 
Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake.

Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu wanaoinyonya na kuiibia nchi yetu kama Wahindi/Waarabu/Wairani au Wachina, unaweza kusema uchumi wetu wote wameushika wao lkn husikii watu wakitia neno kwa sababu mtu mweusi amelelewa kujichukia na kuthamini wengine, hivi Mwigulu anaweza kupitisha Kodi bila idhini ya raisi wa nchi?

Juzi kati tumeona Rostamu Aziz akiwa na raisi wa nchi USA wakisaini Mikataba binafsi hakuna aliyehoji kama ni Ufisadi au vipi, mnajua kilichosainiwa? Mnakwenda kumshambulia mtu eti kaagiza sijui Yutong, really? Mnajua Waarabu na Wahindi wanatuibia kiasi gani?

Acheni chuki binafsi, kama ni chuki stahiki pelekeni kwa Mafisadi wenyewe na siyo vidagaa!

View attachment 2338055
Hana lugha nzuri kwa wananchi..!! Huwezi sema kama mtu hataki kitu fulani, basi ahamie Burundi. Hiyo lugha tu, pekee kwa mataifa mengine ingeibua mgogolo wa kidiplomasia
 
Back
Top Bottom