Watanzania weusi na Chuki binafsi dhidi ya Watu weusi

Hakuna Mhindi Wala mwarabu anaeweza kuiba Bila kusaidiwa Ni mijitu fisadi kama Mwigulu Nchemba
 

Shida ni kwamba hao unaowatetea wao hawakuoni hivyo, kwanza wanakuona second class human being hivyo ni on sided love kwa uplande wako, na wanakucheka huku ukiwatetea.

Unamshambulia Waziri na wakati anatimiza wajibu wake? Kwa nini raisi hamuondoi kama unafikiri Mwigulu is acting alone ?
 
Na kwa nini raisi wa nchi hamuondoi Waziri kama ni kweli raisi wenu anawajali kama mnavyojilazimisha kuamini?
Wewe unaonaj huyo mama ana maamuzi???

Anachojua Ni kuwasifia wazee wa MITALA kina Aweso na Mchengerwa na kuwapa ulaji kundi la Kikwete.

Labda anachoweza Ni kukuchamba hadharani kama kina Ndugai ili ujiuzulu mwenyewe.
 
Kweli ana PHD? Hebu nitumie thesis yake!
 
usilete udini uhalisia CCM imeshindwa kutuongoza pamoja na Bunge lao lisilo na mvuto
 
We huna akili na ni mdini kupita kiasi, kwaiyo akiwa mkristo au muislamu inahusiana Nini na uongozi?? Kumbe unamtukana Samia sababu ya dini yake
 
Mwenzake alinunua hizo alipostaafu nazo zikastaafu
 
Hao watu wa Asia sio wanainyonya afrika bali mifumo yao ya elimu ndio inawapa macho ya kuziona fursa tele nchini.
 
Wanalamba wote asali.
 
Wale biashara zao zinaonekana na zinaeleweka huyo boss wako anafanya biashara gani
 
Jambo rahisi kama hili mtu aliyeweza kujiunga JF ameshindwa kulielewa !!!
Mwigulu amefisadi nini? Mwigulu analaumiwa kupendekeza tozo. Mwigulu ni waziri. Ni public leader. He is holding a public office. Hao uliowataja hawashiki ofisi yoyote ya umma.
 
Kwa nini ampigie simu usiku??
Raisi aliwahi kusema alipigiwa simu usiku na Mwigulu na kuambiwa kuwa wakope ili walipe madeni ya Mwendazake.

Hili linatuonyesha nini na kwa nini tunamlaumu Mwigu?.
 
Hana lugha nzuri kwa wananchi..!! Huwezi sema kama mtu hataki kitu fulani, basi ahamie Burundi. Hiyo lugha tu, pekee kwa mataifa mengine ingeibua mgogolo wa kidiplomasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…