Watapangua sana ma-RPC ila hakutabadili tabia za Jeshi la Polisi

Watapangua sana ma-RPC ila hakutabadili tabia za Jeshi la Polisi

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Kwa saaa speed ya kupangua Ma-RPC inatisha sana haipiti mwezi wanapanguliwa na hapa tulipo huenda huu mwaka hautaisha utasikia tena pangua pangua.

Huyu Wambula kazidi sasa make haipiti mwezi hajapangua.

Yaani realocation ya ma-RPC ndio mwisho wa mageuzi wanayoimba daily.

Hawa wanakwepa kudili na sababu za msingi wanakimbilia kwenye pangua pangua ambayo haina tija wala maana na sijui ni lini wataelewa kwamba shida sio ma-RPC bali ni mfumo mzima wa jeshi la Polisi na muundo wake ambako hada sasa lina mfumo wa kikoloni miaka 60+ baada ya uhuru.

Jeshi limejaa mikwara daily, yaani ili waogopwe ni lazima toe mikwara ya kutishia raia.

Pia soma > Mabadiliko Polisi: Kamanda Mutafungwa ang'olewa Usalama Barabarani
 
Sure, huwa sioni mantiki ya haya mabadiliko, ni kubadilisha sura tu, but hizo sura hakuna zinachofanya kubadili hali ya mambo.
 
Huko mbele ya safari, RPC inabidi kiwe cheo cha kisiasa na sio cheo cha kijeshi.
Huenda mambo yakakaa smooth...
 
Back
Top Bottom