The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
My bank has issued me with credit facility so you can see me if you need any help lol...haya bana, niwie radhi. Mkono umeteleza!
...indoors bro! Debit na Credit cards zangu zinakuwa more safe kwenye friji!
temptations nyingi huko nje, LOL...
:focus:
...mtu akikutenda namna hii, halafu baada ya siku mbili tatu kinawaka huko kwenye ndoa yake utamuona mbio anakujia
'a shoulder to cry on!' Kazi kwako ukiamua kuwa 'Doormat' lake!
Anyway, tunashauriwa kuwaombea mungu huko waendako.
Jipe moyo..."Kila likuepukalo,....!"
Mwaka jana kuna rafiki yangu ailkutana na msichana mmoja aliyesoma nae!Kwa muda msichana alimganda sana mshkaji na "I LOVE YOU" kibao.Mwezi uliopita mshkaji anaambiwa hivi unajua fulani kaolewa juzi?
Si zaidi ya miezi miwili kuna mshkaji wangu nae alikua ananiimbia nyimbo hizo hizo..leo ananiambia nijiandae kwa kadi ya harusi.
Nikajiuliza sasa hawa watu hua wanawachukulia vipi hao wachumba wao?Watu wengine kua nao ni hasara tu kwa kweli.Nawaonea huruma watarajiwa wao!Mungu awape ujasiri!
I Love You BJ haujashtuka bado kama i mean it.Ndiyo mana mtu na I Love You kibao mie sishtuki maana sijui muda huyo mtu anakuwa serious kimapenzi!!..na wengine kusema I love You ni kawaida sana wamaanishe au wasimaanishe!!
Haya tenga fungu la mchango mamii🙂))
Nitafute haraka sana i mean nowHakua mchumba wangu Mpendwa na namshukuru Mungu kwa hilo!
I Love You BJ haujashtuka bado kama i mean it.
Aha aha aha BJ haujui kuwa Mungu alisema mpende jirani yako kama unavyojipenda weweNimeona kama kiunganishi kwenye sentensi, ha ha!...labdaI love you ya ki-agape, hapo nitaamini!!teh teh
Hahahaha!Haki ya nani sichangii...labda kama wakiachana atanirudishia!Ndiyo mana mtu na I Love You kibao mie sishtuki maana sijui muda huyo mtu anakuwa serious kimapenzi!!..na wengine kusema I love You ni kawaida sana wamaanishe au wasimaanishe!!
Haya tenga fungu la mchango mamii🙂))
Now now not laterLike now now or now later?
Mwaka jana kuna rafiki yangu ailkutana na msichana mmoja aliyesoma nae!Kwa muda msichana alimganda sana mshkaji na "I LOVE YOU" kibao.Mwezi uliopita mshkaji anaambiwa hivi unajua fulani kaolewa juzi?
Si zaidi ya miezi miwili kuna mshkaji wangu nae alikua ananiimbia nyimbo hizo hizo..leo ananiambia nijiandae kwa kadi ya harusi.
Nikajiuliza sasa hawa watu hua wanawachukulia vipi hao wachumba wao?Watu wengine kua nao ni hasara tu kwa kweli.Nawaonea huruma watarajiwa wao!Mungu awape ujasiri!
Ndo wasiwasi wangu huo mpendwa!Kama uchumba tu ni wa mashaka hizo ndoa sijui zitakuaje!Lizzy hao ndio wale wale wasiojua I LOVE U ni nini, mchumba ni nini na most importantly ndoa nini... watu kama hao do you think hizo ndoa zitakua na uaminifu?
Ndiyo mana mtu na I Love You kibao mie sishtuki maana sijui muda huyo mtu anakuwa serious kimapenzi!!..na wengine kusema I love You ni kawaida sana wamaanishe au wasimaanishe!!
Haya tenga fungu la mchango mamii🙂))
...lol! BJ, ukiambiwa i love you jibu "asante!" bana.
Hakua mchumba wangu Mpendwa na namshukuru Mungu kwa hilo!
Hahahaha!Haki ya nani sichangii...labda kama wakiachana atanirudishia!
Kuna mtu yeyote anayeweza kunisaidia kwa kuniambia leo ni tarehe gani ya mwaka upi?
Nawatakieni Christmass njema..............:A S shade:
Kuna mtu yeyote anayeweza kunisaidia kwa kuniambia leo ni tarehe gani ya mwaka upi?
Nawatakieni Christmass njema..............:A S shade:
</p>mjukuu wa jana atakuwa kakutenda mabaya.....badala ya kuharibu biolojia, hadi ubongo kauchakachua? ulikagua sehem zipi hasa manake zingine lazima upate ukichaa tu....habar yako bana hommie