Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
It goes both ways TF, unaweza fikiri unamchezea kumbe nae ana same thought.
It is a matter of being outsmarted.
Sigma,ndo yale ya muuza dhahabu feki kumbe naye analipwa dola feki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It goes both ways TF, unaweza fikiri unamchezea kumbe nae ana same thought.
It is a matter of being outsmarted.
I love you too Mbu ooppss!...enyi dada zangu, furahieni hizo I love you before they last jamani, kuna umri utafika utamtafuta hata wa
kukudanganyia akwambie hivyo humpati.
Nilishawahi letewa kesi mdada analalamika hakumbuki lini mara ya mwisho mumewe alimwambia I love You, anaomba japo aambiwe ya uongo uongo tu...
Mwingine hakwambii, siku akikwambia I LOVE YOU jua enhe,...kuna tofali linakujia usoni!
...kiukweli, I LOVE YOU ALL madada zangu humu ndani.
Asa jamani kama kakuomba akulove wewe ukamkatalia kwa kuwa humlove back abakie analia? Si anaendelea mbele kumtafuta ataemlove back??Kuna watu wengine huwa wanaona wenzao kama makaratasi vile anachezea feeling zako jinsi anavyojisikia bila kujali utajisikiaje
Ahaa ahaa mjukuu lakini kumbuka kuchezea feelings za mtu inauma sana nakubaliana na wewe kama mtu anakupenda/unampenda halafu yeye haumpendi/hakupendi ni vizuri ukamwambia/akakwambia ukweli kuliko kuanza kufanywa kama mazingaombwe hili la makoloni mawili huwa naona watu wanafanya wanasema eti huku likibuma nahamia huku.Asa jamani kama kakuomba akulove wewe ukamkatalia kwa kuwa humlove back abakie analia? Si anaendelea mbele kumtafuta ataemlove back??
Tatizo ni hiyo time frame...................... but si huwa tunaambiwa kuwa wanaume huwa wanakuwa na makoloni mawili, matatu kwa wakati mmoja so akikwambia akuoe ukakataa analijalibu koloni lingine lilikubali ah anatangaza ndoa hata within a week.
...enyi dada zangu, furahieni hizo I love you before they last jamani, kuna umri utafika utamtafuta hata wa
kukudanganyia akwambie hivyo humpati.
Nilishawahi letewa kesi mdada analalamika hakumbuki lini mara ya mwisho mumewe alimwambia I love You, anaomba japo aambiwe ya uongo uongo tu...
Mwingine hakwambii, siku akikwambia I LOVE YOU jua enhe,...kuna tofali linakujia usoni!
...kiukweli, I LOVE YOU ALL madada zangu humu ndani.
<p></p>
<p> </p>
teh teh!inaweza ikawa ndo mwisho wa babu atii.manake hizo systems za enzi hizo installation zilikuwa zinafanyika kwa diskette,sasa saa hizi sijui hata kama usb port anayo,achia mbali cd drive.hapa ni recyling mpango mzima,usimuambie lakini ataniuaaaa