Watarajiwa wa ajabu!

Watarajiwa wa ajabu!

nadhani huyo mjukuu wa jana alim-format kabisaa,kasahau hadi mwaka!anahitaji installation upyaa.shkamoo babu...

hahahah King'asti wewe...ngoja aje akukague...lakini nahisi hali yake ni mbaya sana...sas atusubiri babu V2?

teh teh!inaweza ikawa ndo mwisho wa babu atii.manake hizo systems za enzi hizo installation zilikuwa zinafanyika kwa diskette,sasa saa hizi sijui hata kama usb port anayo,achia mbali cd drive.hapa ni recyling mpango mzima,usimuambie lakini ataniuaaaa

Mie mtu akinambia "I Love You" namuona bonge ya msanii..........maana hata sitakujibu "I Love you too" si ndo jibu wanalosubiri hakuna lingine hapo kwanini tuambiane uongo?

mtoto hatar sana wewe....... unachezea koki?? utaloa sasa hivi:shut-mouth:

Mie mtu akinambia "I Love You" namuona bonge ya msanii..........maana hata sitakujibu "I Love you too" si ndo jibu wanalosubiri hakuna lingine hapo kwanini tuambiane uongo?

jambo dear, umesema kweli ni usanii mtupu.

Kumbe jibu standard la 'i love you' ni 'asante'?...
Hizi 'i love you' ziwe ngapi au za muda gani ndo zihesabike ni za ukweli....
:A S-heart-2:

...Ohhh Mkuu, pasaka ilipita salama? ...nyumba yangu ya vioo imesambaratika, hapa nilipo
namuombea madua yote RAUL + Schalke!
:focus:

...E bana ee, "I love You!" hata kama ni moja, itapoendana na matendo ndipo inapoleta maana kamili.

Nawaombea mabaya Raul na Schalke

• Thanks
Reactions: Mbu
Mie mtu akinambia "I Love You" namuona bonge ya msanii..........maana hata sitakujibu "I Love you too" si ndo jibu wanalosubiri hakuna lingine hapo kwanini tuambiane uongo?
Mnasema tu hapa hamna lolote

Mnasema tu hapa hamna lolote

The finest. Nani atatuletea full updates za Royal wedding bana? Gaga keshapoa stress.
panahitajika sredi maalum, au?

KATE MIDDLETON naye kaondoa neno " I will obey,..." kama mama mkwe wake (Diana) alivyofanya 31yrs ago!....au nawe utakuwa busy na camera yako maeneo hyde park na Westminster Abbey?

Mbu aren't you invited as one of the guests nimesikia wewe David Beckham na Victoria you are close friends to the Royal family so i hope to see you there on Friday, Gaga stress zimeishapoa so i hope she will be there to bring us live coverage najua kwa Gaga kutoka Clarendon mpaka Westminster Abbey ni almost 10 miles (16 Km) so i guess she will make it on time

• Thanks
Reactions: Mbu
Kuna watu wengine huwa wanaona wenzao kama makaratasi vile anachezea feeling zako jinsi anavyojisikia bila kujali utajisikiaje

Hii sentensi kali sana - TF - ulishawahi kufanywa kama karatasi?

lizzy kwa life ya sasa kuoa ni bahati sana sister sijui maana mnaweza kusomana na mkaja kuoana bado yakawa yaleyale baada ya kuzaa tu mtoto

I love u kawaida sana ungesubiri aseme I need u, pia ulitakiwa ukauke mpaka amalizie I miss u my love na sio dear

Dah, kumbe ndo hivyo, duh kazi ipo. Watu wengine waona hisia za wengine makaratasi kweli, ajisemee TF.

.......hii inanikumbusha mkaka flani enzi hizo, huyu mkaka alipata kwenda nje ya nchi kuchukua mafunzo ya muda mfupi kama mwaka hivi. Kufika huko tukakutana na mie.....basi mkaka si akarusha ndoana kwangu na mie wala sikumkubalia kwa kuwa hakuwa chaguo langu.....kumbe mkaka alikuwa kashachumbia tayari lakini alinificha. Nilipokuja kupata tetesi nikamwambia we una mchumba bongo inakuwaje tena macho juu juu huku? Akasema kweli lakini simpendi ananilazimisha kumuoa.....baada ya training kuisha akarudi bongo na kutangaza ndoa na kuoa yule yule aliyesema hampendi.

Duh! Hii kali alitaka kukuchakachua kwa kigezo eti hampendi mchumba wake unamkana mpenzi wako ili uweze kuchakachua mtu mwingine ndio maana nikasema watu wengine wanachezea feeling za wenzao watakavyo kama vile toilet paper

• Thanks
Reactions: Mbu
.......hii inanikumbusha mkaka flani enzi hizo, huyu mkaka alipata kwenda nje ya nchi kuchukua mafunzo ya muda mfupi kama mwaka hivi. Kufika huko tukakutana na mie.....basi mkaka si akarusha ndoana kwangu na mie wala sikumkubalia kwa kuwa hakuwa chaguo langu.....kumbe mkaka alikuwa kashachumbia tayari lakini alinificha. Nilipokuja kupata tetesi nikamwambia we una mchumba bongo inakuwaje tena macho juu juu huku? Akasema kweli lakini simpendi ananilazimisha kumuoa.....baada ya training kuisha akarudi bongo na kutangaza ndoa na kuoa yule yule aliyesema hampendi.

Alitaka kupoza tu, mara nyingi mtu ukisha jua ana mchumba wala usimsikilize maana kama anataka kumsaliti huyo mchumba wewe je? Bora ulistuka, au na wewe ulimpenda?

Back
Top Bottom