Watarajiwa wa ajabu!

Watarajiwa wa ajabu!

It goes both ways TF, unaweza fikiri unamchezea kumbe nae ana same thought.
It is a matter of being outsmarted.

Sigma,ndo yale ya muuza dhahabu feki kumbe naye analipwa dola feki?
 
Mungu awatie nguvu ambao bado hamjaingia kwenye ndoa. Ulishaona mtu ukiwa na kitete cha kununua viatu? Hajali kama ni cha mchina au leather yeyey akilini mwake ameshasema leo lazima avae kiatu aachane na yebo yebo. Ndiyo ndoa za siku hizi. wanaume na wanawake wote wako desperate to death! nimeshafanya uchunguzi about 90%.

Sasa akikutana na WANAMAZINGAOMBWE a.k.a ABRAKADABRA, akakuchombeza Nakupenda sana mpenzi hata jana tu Mungu kanitokea ndotoni akinionyesha wewe ndiyo mke mwema wangu, basi unalegea kama mlenda wa masika unaingia mkenge kumbe yule alikuwa anacheza movie za kihindi.

Ninachotaka kusema ebu jamani tuombe Mungu awafunge wote wale wachumba hewa, wasio na ukweli ndani yao, waharibifu, watia aibu wenzao washindwe katika jina la Yesu. Usifanye maamuzi peke yako, wambie wenzio wakusaidie hata kwenye maombi basi ili ujue ukweli uliko ndani ya huyo mcheza cinema za mapenzi.

Hizi divorce siyo sifa, siyo umaaufu wa kuolewa na kuachika au kuoa na kuacha, ni mkosi sana wanaofanikiwa kuolewa/oa mara mbili ni wachache sana, usijipe moyo eti ukiachwa utapata mwingine. Bahati ya mwenzio usilallie mlango wazi.

Nawatakia kila la kheri wale mlioko kwenye mchakato wa kutafuta wachumba, mliondoani, wote ni kusali kwa kwenda mbele huyo shetani tunayemsingizia kila kitu apite kushoto.
 
...enyi dada zangu, furahieni hizo I love you before they last jamani, kuna umri utafika utamtafuta hata wa
kukudanganyia akwambie hivyo humpati.

Nilishawahi letewa kesi mdada analalamika hakumbuki lini mara ya mwisho mumewe alimwambia I love You, anaomba japo aambiwe ya uongo uongo tu...

Mwingine hakwambii, siku akikwambia I LOVE YOU jua enhe,...kuna tofali linakujia usoni!

...kiukweli, I LOVE YOU ALL madada zangu humu ndani.
 
I love you too Mbu ooppss!
 
Hata kama tutasema tuombeane tutaombea wangapi? Mapenzi ya kupima, mahusiano yakimashakamashaka, wapenzi vichwa juu juu kama nyoka anayetafuta maji.
Mnadhani hizo ndoa zitakuwa pepo hapa duniani?
Sio wanawake sio wanaume lazma pande moja ishindwe kumaanisha.
Maigizo yamezidi.
Dawa si kwa babu wa loliondo bali charity begins at home, kama wewe sio mwaminifu hata upewe miaka elfu kujiandaa hutoweza maana unakaroho ka mwiba, bila kuchomachoma wenzio huoni kama unaishi. Sasa basi tujifunze kumaanisha japo mapenzi hayana fomula wala mwenyewe.
 
Kuna watu wengine huwa wanaona wenzao kama makaratasi vile anachezea feeling zako jinsi anavyojisikia bila kujali utajisikiaje
Asa jamani kama kakuomba akulove wewe ukamkatalia kwa kuwa humlove back abakie analia? Si anaendelea mbele kumtafuta ataemlove back??

Tatizo ni hiyo time frame...................... but si huwa tunaambiwa kuwa wanaume huwa wanakuwa na makoloni mawili, matatu kwa wakati mmoja so akikwambia akuoe ukakataa analijalibu koloni lingine lilikubali ah anatangaza ndoa hata within a week.
 
Ahaa ahaa mjukuu lakini kumbuka kuchezea feelings za mtu inauma sana nakubaliana na wewe kama mtu anakupenda/unampenda halafu yeye haumpendi/hakupendi ni vizuri ukamwambia/akakwambia ukweli kuliko kuanza kufanywa kama mazingaombwe hili la makoloni mawili huwa naona watu wanafanya wanasema eti huku likibuma nahamia huku.
 
Kijijini kwangu bila kuchumbia hupati demu. Unachumbia kwanza na utabata heshima zote, kuchinjiwa kuku kwa kwenda mbele kisha unachumbia nyumba nyingine na nyingine, then unahamia kijiji cha jirani. Kwa mijini nimejifunza ukiwa mkweli sana utapata demu kwa tabu. Ni lazima uwe mwongo mwongo hivi. Mfano, ukisema ukweli kuwa umeoa, hata pesa, doh. Ukisema mfano, mimi nina hamu tu, doh. Hence, unachangiwa na rafiki zako, unaonekana leo unazo, unachukua ngoma, unaishia na unarudi baada ya mwaka. eti ulisafiri. Halafu siku hizi gharamaa!! Kwa cc wengine bila laki duuu!!! kulala 30,000 kula kunywa 25,000 usafiri, 30,000 demu 15,000 doh!!! Kwaresma itatuokoa
 
...enyi dada zangu, furahieni hizo I love you before they last jamani, kuna umri utafika utamtafuta hata wa
kukudanganyia akwambie hivyo humpati.

Nilishawahi letewa kesi mdada analalamika hakumbuki lini mara ya mwisho mumewe alimwambia I love You, anaomba japo aambiwe ya uongo uongo tu...

Mwingine hakwambii, siku akikwambia I LOVE YOU jua enhe,...kuna tofali linakujia usoni!

...kiukweli, I LOVE YOU ALL madada zangu humu ndani.

asante kaka yetu
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
teh teh!inaweza ikawa ndo mwisho wa babu atii.manake hizo systems za enzi hizo installation zilikuwa zinafanyika kwa diskette,sasa saa hizi sijui hata kama usb port anayo,achia mbali cd drive.hapa ni recyling mpango mzima,usimuambie lakini ataniuaaaa

ORAIT ORAIT...njoo turecycle basi kisha tuna empty kabisa
 
teh teh teh .......

mambo mengine inabidi tu ucheke angalau ujiongezee siku za kuishi.
 
Back
Top Bottom