nadhani huyo mjukuu wa jana alim-format kabisaa,kasahau hadi mwaka!anahitaji installation upyaa.shkamoo babu...

hahahah King'asti wewe...ngoja aje akukague...lakini nahisi hali yake ni mbaya sana...sas atusubiri babu V2?
mtoto hatar sana wewe....... unachezea koki?? utaloa sasa hivi:shut-mouth:

teh teh!inaweza ikawa ndo mwisho wa babu atii.manake hizo systems za enzi hizo installation zilikuwa zinafanyika kwa diskette,sasa saa hizi sijui hata kama usb port anayo,achia mbali cd drive.hapa ni recyling mpango mzima,usimuambie lakini ataniuaaaa
Mie mtu akinambia "I Love You" namuona bonge ya msanii..........maana hata sitakujibu "I Love you too" si ndo jibu wanalosubiri hakuna lingine hapo kwanini tuambiane uongo?
Kumbe jibu standard la 'i love you' ni 'asante'?...
Hizi 'i love you' ziwe ngapi au za muda gani ndo zihesabike ni za ukweli....
:A S-heart-2:
Nawaombea mabaya Raul na Schalke...Ohhh Mkuu, pasaka ilipita salama? ...nyumba yangu ya vioo imesambaratika, hapa nilipo
namuombea madua yote RAUL + Schalke!
:focus:
...E bana ee, "I love You!" hata kama ni moja, itapoendana na matendo ndipo inapoleta maana kamili.
Mnasema tu hapa hamna loloteMie mtu akinambia "I Love You" namuona bonge ya msanii..........maana hata sitakujibu "I Love you too" si ndo jibu wanalosubiri hakuna lingine hapo kwanini tuambiane uongo?
Mnasema tu hapa hamna lolote
Mbu aren't you invited as one of the guests nimesikia wewe David Beckham na Victoria you are close friends to the Royal family so i hope to see you there on Friday, Gaga stress zimeishapoa so i hope she will be there to bring us live coverage najua kwa Gaga kutoka Clarendon mpaka Westminster Abbey ni almost 10 miles (16 Km) so i guess she will make it on timeThe finest. Nani atatuletea full updates za Royal wedding bana? Gaga keshapoa stress.
panahitajika sredi maalum, au?
KATE MIDDLETON naye kaondoa neno " I will obey,..." kama mama mkwe wake (Diana) alivyofanya 31yrs ago!....au nawe utakuwa busy na camera yako maeneo hyde park na Westminster Abbey?
Kuna watu wengine huwa wanaona wenzao kama makaratasi vile anachezea feeling zako jinsi anavyojisikia bila kujali utajisikiaje
Ahaa ahaa Mkuu nilishawahi kufanywa karatasi lol i have learnt the hardway lolHii sentensi kali sana - TF - ulishawahi kufanywa kama karatasi?
...aaaah,
mimi wala siwalaumu.
"I love you!" na "Am In-Love with you!" zina maana mbili tofauti.:whistle:
Mhhh!!kumbe ngoja nilale niyatafakari hayo maneno
I love u kawaida sana ungesubiri aseme I need u, pia ulitakiwa ukauke mpaka amalizie I miss u my love na sio dear
Duh! Hii kali alitaka kukuchakachua kwa kigezo eti hampendi mchumba wake unamkana mpenzi wako ili uweze kuchakachua mtu mwingine ndio maana nikasema watu wengine wanachezea feeling za wenzao watakavyo kama vile toilet paper.......hii inanikumbusha mkaka flani enzi hizo, huyu mkaka alipata kwenda nje ya nchi kuchukua mafunzo ya muda mfupi kama mwaka hivi. Kufika huko tukakutana na mie.....basi mkaka si akarusha ndoana kwangu na mie wala sikumkubalia kwa kuwa hakuwa chaguo langu.....kumbe mkaka alikuwa kashachumbia tayari lakini alinificha. Nilipokuja kupata tetesi nikamwambia we una mchumba bongo inakuwaje tena macho juu juu huku? Akasema kweli lakini simpendi ananilazimisha kumuoa.....baada ya training kuisha akarudi bongo na kutangaza ndoa na kuoa yule yule aliyesema hampendi.
.......hii inanikumbusha mkaka flani enzi hizo, huyu mkaka alipata kwenda nje ya nchi kuchukua mafunzo ya muda mfupi kama mwaka hivi. Kufika huko tukakutana na mie.....basi mkaka si akarusha ndoana kwangu na mie wala sikumkubalia kwa kuwa hakuwa chaguo langu.....kumbe mkaka alikuwa kashachumbia tayari lakini alinificha. Nilipokuja kupata tetesi nikamwambia we una mchumba bongo inakuwaje tena macho juu juu huku? Akasema kweli lakini simpendi ananilazimisha kumuoa.....baada ya training kuisha akarudi bongo na kutangaza ndoa na kuoa yule yule aliyesema hampendi.