Watatu jela maisha kwa kukutwa na kemikali za kutengeneza ‘Smart Gin’, ‘Double Kick’

Halafu wanasema kuna uadui wa kiimani Tanzania
 
Bongo bira haramu hutoboi,, amn case apo
Ao ni wakemia sema tu hawan vibali
Kinacho tengenezwa apo ni pure kabisa kila kitu yanii,

Same process same product.
 
Laiti na yake majangili yanayouza Nchi yangepewa adhabu kama hii Nchi ingenyooka
 
Nimeishia hapo kwa hao waislam wanaozalisha pombe afu unakuta wanaswali na singda ju
 
Bado watengenezaji wengine wapo mitaani na wengine wanalindwa na vyombo vya dola kuhatarisha afya zetu
 
1.) Kwanini serikali haikuwapa wakili kama hawakuwa na uwezo?

2.) Kama walifanya hayo kweli, basi hiyo haina tofauti na uuwaji, wangepaswa hata kunyongwa kabisa. Ila inawezekana wamesingiziwa pia, maana hawakuwa na wakili.

3.) Wakate rufaa, watafute wakili.

4.) Wanaofanya hizo biashara ni wengi, ila hiwa wanatoa rushwa na kuachiwa, hawa wanawezaje kufanya haya na kukosa pesa ya kuhonga? Maana yake hawa ni wafanyakazi wa chini kabisa, mwenye kumiliki hilo genge la uhalifu yupo, na hajakamatwa..
 
HUYO HAKIMU VEEPEE, MBONA ADHABU HAILINGANI NA KOSA!, HAO JAMAA WA HAPO SINZA NAO WALIANZA KWA UKANJANJA HIVYO HIVYO KABLA YA KUSAJILI RASMI,WALITUNYWESHA VIROBA FEKI ENZI HIZO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…