mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Adhabu iendane na kosa.Wahalifu wakifungwa,mnalalamika,wakiaachiwa bado mnalalamika ,hata sijui watanzania mnataka nini hasa mbona kama mnatuchanganya sana!!??
Yaani isiwe mafisadi wanaachiwa tu wanaonekana mashujaa halafu mtu aliyejiongeza ili apate laki ya kulisha familia aonekane kama muuwaji/jambazi sugu/Muhujumu uchumi wakati mafisadi wanaoficha mabilioni ndio wahujumu uchumi namba moja.