granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
hata hennessy?Pombe kali nying ni fake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hennessy?Pombe kali nying ni fake
Na story za vijiweni mkuuulaya ipi unaizungumzia ndugu
mikanda ya video inawapotosha sana
😂😂😂 Mi jana nimechapa dogo hapa mambo hayo hayo...Nikweli Kuna NGO moja ya mzungu inalea watoto yatima na wenye Maisha magumu..
Siku moja Yule mfadhili mzungu alitembelea kituo alipo kua ameacha mkoba mle ofisin ikagundulika mtoto mmoja akaiba pesa kwenye ule mkoba
Baada ya kufanya msako mtoto mmoja akagundulika ndie Alie chukua zile pesa Basi wale walezi waafrika wakaanza kumshambulia kwa bakora na maneno..
Yule mzungu akawakemea wale walezi akamwita mtoto kwa upendo na kumfanya Yule mtoto rafiki na alipo ondoka akamwachia pesa na Mara kwa Mara akawa anamfuatilia maendeleo yake tangia siku hiyo..
Wenzetu hupenda kutumia Positive punishment Ila kina sisi waafrika Ni mwendo wa negative punishment
Trust me Kuna bidhaa nyingi fake kuanzia mafuta ya kula ,kuku broiler, mavyakula na mavinywaji ya kiwandani mengine yame expired na wanabadilisha expired datePombe isiyokuwq na viwango vya ubora ni sawa na kuwapa watu sumu Kwa makusudi Ili kujineemesha
Sawa mchape fimbo kiasi Ila usizidishe mkuu usimpe CORPOLAR PUNISHMENT 😊😂😂😂 Mi jana nimechapa dogo hapa mambo hayo hayo...
Mtu anafanya mambo kwa kujirudia huku sio ulaya..
Vitoto vya kule vinaweza elewa mara moja huku kwetu leo unamwambia asirudi hom sa 2..
Kesho ataacha baada ya week mziki ule ule .. ukisema utumie positive punishment atakuona na wewe zwazwa....
Ni fimbo tuuu na adhabu kali ili akili ikae sawa
sio kila kitu unaweza tu kumiliki kama korodani mkuu vitu vingine ni process lazina zifuatwe ukikutwa na nyara za serikali(stika) bila kibali lazima upakatwe ukikutwa na materials ambayo jamuhuri imeyaainisha kama hatari (raw ethanol) bila kibali jua umepakatwa yaan api wahuni kesi yao haijatofautiana na aliekutwa na kichwa cha twiga na bunduki isio na usajili , sheria imekaa wima inakusubir unase na nyie mnaopenda kutumia common sense kwenye mambo ya kisheria ndio huwaga mnanyongwa mapemaDah! Kwani NEMBO YA TRA inatunzwa Under Lock and key au ipo-ipo tu hadi wasela wakaipata?
Hiyo hoja ya kumiliki Ethanol bila kibali inafikirisha sana. Hivi nikikutwa na Konyagi (40% ethanol), k-vant (40% ethanol) au vodka(40 -60% ethanol) bila kibali nitashtakiwa? au spiriti (ethanol + methanol 95-100%) ya kuwashia karabai au kusafishia kidonda changu ni makosa?
Sijui hata nianzie wapi lakini niwaombe tu wataalam wasomi TLS wakishirikiana na LHRC kwa huruma zao kama inawezekana waokoe jahazi kama ilivokuwa kwa yule mama aliyekutwa na kilo 12 tu za nyama pori huko Iringa akahukumiwa 22 yrs gerezani. Hawa ndugu wataozea jela simply kwa kukosa mtetezi. Mungu atawabariki.
Kuna mda wa positive punishment mkuu nakubali..Sawa mchape fimbo kiasi Ila usizidishe mkuu usimpe CORPOLAR PUNISHMENT 😊
Kwa sisi waafrika fimbo zinasaidia Sana kutu shape
Akili zako muda mwingine zinakuwa hovyo sana.. Hiyo ulaya ya wapi labda ulaya ya Zombo. Mtu anahatarisha afya za watu wewe unasema afunguliwe kiwanda... Hovyo kabisaKwa Ulaya hawa wangesaidiwa wakaanzisha kiwanda halali, bongo wanafungwa maisha!
Nakazia hoja. Hapo inaelekea Kuna kitu nyuma ya pazia kwa Polisi, Hakimu na Adhabu waliyopewa hawa jamaa.Trust me Kuna bidhaa nyingi fake kuanzia mafuta ya kula ,kuku broiler, mavyakula na mavinywaji ya kiwandani mengine yame expired na wanabadilisha expired date
Mpaka madawa ya binadamu wanabadilisha expired date ie. Kuna mtu alikamatwa kahama
Sema wa hayo makitu bado kudakwa, ila, zipo za bandia kitaa.Afadhali Grants au Hanson choice hazimo kwa list
ulaya ipi hiyo kama ni ulaya ya wazungu taKwa Ulaya hawa wangesaidiwa wakaanzisha kiwanda halali, bongo wanafungwa maisha!
Upo sahihi lakini nikinukuu "Ila kwa ishu zingine bila fimbo hawa vichwa ngumu... Japo kuna vipimo tunazingatia" kwa kesi ya hao jamaa Je, hii ni mara ya ngapi walishakutwa na kosa hilo-hilo na kunywa halafu ndo tuseme hawa ni vchwa ngumu?Kuna mda wa positive punishment mkuu nakubali..
Mfano mtoto unapoona ameanza mambo ya ajabu 🌈mybe hapo uwezi ukakimbilia kupiga direct...
Utakaa chini utamfundisha utamuelekeza na mambo mengine yataendelea..
Ila kwa ishu zingine bila fimbo hawa vichwa ngumu... Japo kuna vipimo tunazingatia
Kweli mkuu hao shida wamekosa wakili tu...Upo sahihi lakini nikinukuu "Ila kwa ishu zingine bila fimbo hawa vichwa ngumu... Japo kuna vipimo tunazingatia" kwa kesi ya hao jamaa Je, hii ni mara ya ngapi walishakutwa na kosa hilo-hilo na kunywa halafu ndo tuseme hawa ni vchwa ngumu?
Inaonekana dhahiri kwamba adhabu hiyo ni kuwakomoa na imepitiliza kiwango mnoo. Hatukatai wao kuadhibiwa lakini hiyo adhabu ni kali mno na imewanyima nyima walau last chance.
Je, ni sheria hiyo hiyo inayoruhusu upande mmoja na kubana kwa wengine? Kama ishu ni kutokuwa na Kibali, Je, adhabu iliyoainishwa ni kifungo cha maisha? Mbona yule mama aliyekamatwa na nyamapori alihukumiwa 22 yrs. Yeye ilikuwaje kwani alikuwa na kibali cha kumiliki hiyo kg. 12 nyama pori?sio kila kitu unaweza tu kumiliki kama korodani mkuu vitu vingine ni process lazina zifuatwe ukikutwa na nyara za serikali(stika) bila kibali lazima upakatwe ukikutwa na materials ambayo jamuhuri imeyaainisha kama hatari (raw ethanol) bila kibali jua umepakatwa yaan api wahuni kesi yao haijatofautiana na aliekutwa na kichwa cha twiga na bunduki isio na usajili , sheria imekaa wima inakusubir unase na nyie mnaopenda kutumia common sense kwenye mambo ya kisheria ndio huwaga mnanyongwa mapema
Mkuu leo napingana na wewe. Hawa hawana tofauti na wauwaji kwakuwa wameharibu maisha ya vijana wengi sana kwa kuwanywesha sumu.Kwa Ulaya hawa wangesaidiwa wakaanzisha kiwanda halali, bongo wanafungwa maisha!
Hizo ndio wanapenda kutoa fake maana ndio zenye pesahata hennessy?
Nyie wenyewe mnaongozwa na hisia mnaangalia walio hukumiwa tuu,hamuangalii madhara walio yatengenez kwenye jamiiSasa hakimu anatakiwa nae ajiongeze, hivi unajisikiaje kutoa hukumu ambayo inakuja kutenguliwa. Unaonekana huna akili wala welidi juu ya taaluma yako. Kuna taalum hutakiwa kuwa unakosea kabisa.